Ebu niambie upuuzi wa aina moja tu unaofanywa,au kutimuliwa kwa sbb ulikuwa na cheti fake ndo upuuzi.Lowassa asingefanya huo upuuzi, angefanya mambo ya msingi!
Kutoa Ajira Kwa VijanaKama yepi kwa mfano?
Uko nchi gani?kasome ilani ya uchaguzi wa Chadema, maana Mpaka sasa CCM sijui washafanyia kazi hata moja katika ilani yao.
Hapo cha-cha...?Na Lowassa alikuwa ni wa chama gani?
Hatimaye Nyani Ngabu ameelekea qibla!!! 2nd to MMM!! Bado The Boss ::hahahaaa
Kweli mkuu! Mwambie pia jinsi ccm walivyokuwa bize kumsafisha kuwa si fisadi,mwambie pia jinsi ulivyotaabika kumtetea huku mitandaoni usiku na mchana! Uliwapa mtihani mgumu kweli pale ulipowaambia Mwenye ushahidi kuwa lowassa ni fisadi aende mahakamani!! Mpaka leo hakuna kibwengo yeyote aliyethubutu kutia pua yake mahakamani!! Ina maana walikuwa wanamzushia tu!! Kweli hawa walikuwa mabingwa wa uzushi! Ila kuhusu Nani anaweza kufanya nini kesho ni some sort of Ushirikina!! Hivi Rungwe angefanikiwa kuinusa ikulu Mnajua angeweza kufanya nini na nini? Hivi kabla ya uchaguzi muliwasikia wananchi wakilalamikia nini zaidi? Upungufu wa aeroplane? Poa basi tunawaongezea nyingine saba!!tena kubwa kuliko meli! And after that tusisikie mtu akinon'gona tena!!Mkuu Nyani Ngabu, wala usipate shida kupata jibu la swali lako? Je Lowasa alipokuwa CCM si walimtangaza kwenye Majukwaa kuwa ni Fisadi? Hawakufanya hivyo? Muulize John Mnyika, Saed Kubenea, Peter Msigwa, Godbless Lema, Tundu Lissu nk.
Je baada ya kuhamia CHADEMA wameendelea kuimba wimbo wa ufisadi? Thubutu! Nadhani mpaka hapo umeshapata jibu la swali lako. Hawa ndio upinzani
RIP Kichanga.kuna binti namfahamu, alijifungua miezi miwili iliyopita kwenye hospitali ya chama ( sory ni ya serikali) akaambiwa chanjo hakuna arudi baada ya wiki, aliporudi akaambiwa chanjo bado hazijaja aache mawasiliano zikija ataaitwa, wiki haijaisha tukazika mtoto.
Mkuu! Wala hatukuwa kwenye mstari,bali tulisimama out of crowd ili tusikike vyema!! Wewe ulikuwa wapi? Leo uko wapi? Lowassa was a centre of political gravity! Aliyeshinda alishinda kwa sababu ya Lowassa,aliyeshindwa alishindwa sababu ya Lowassa!! Kuna Na wengine tumewajua rangi zao halisi kupitia Lowassa! [HASHTAG]#ulipotupo[/HASHTAG] na hata sasa naendelea kupata mtiririko mpya wa uhalisia wa fikra za wengine kupitia jina lake!! Na Mimi ni sehemu ya hao Wengine.Hampendi Lowassa wenu asemwe eh?
Halafu hapo hapo usikute nyie ndo mlikuwa mstari wa mbele kumlaani wakati alipokuwa CCM.
Nawe ulizungusha mikono?Mkuu! Wala hatukuwa kwenye mstari,bali tulisimama out of crowd ili tusikike vyema!! Wewe ulikuwa wapi? Leo uko wapi? Lowassa was a centre of political gravity! Aliyeshinda alishinda kwa sababu ya Lowassa,aliyeshindwa alishindwa sababu ya Lowassa!! Kuna Na wengine tumewajua rangi zao halisi kupitia Lowassa! [HASHTAG]#ulipotupo[/HASHTAG] na hata sasa naendelea kupata mtiririko mpya wa uhalisia wa fikra za wengine kupitia jina lake!! Na Mimi ni sehemu ya hao Wengine.
No!! Nilikuwa nawaangalia tu mnavyozungusha!Nawe ulizungusha mikono?
Hivi jipu la LUGUMI kalitumbua? Bandari hatuishi kwenda kwa mikwara lakini "MASHETANI" bado Makontena yanawekwa kwenye mifuko ya suruali inasepeshwaSabalkheri wanaJF na Alhamisi njema kwenu nyote na popote pale mlipo pembe ya dunia hii.
Sasa leo hebu tulonge kidogo ki-nadharia tete. Nimekaa kwa muda mrefu sana sasa nikijiuliza juu ya swali hili bila kupata jibu la uhakika.
Tuseme ingetokea mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ndo angeibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha urais mwaka jana.
Halafu baada ya kuanza kazi akafanya mengi kama aliyoyafanya rais wetu wa sasa MTUKUFU Dkt. John Pombe Joseph Magufuli...
Yaani akapiga marufuku safari za hovyo hovyo za nje ya nchi, akaagiza baadhi ya sikukuu za kitaifa tubadili namna tunavyozisherehekea kitaifa, akawa ni mtu wa kukaa nchini muda mwingi na kutuma wawakilishi pale inapobidi, akatumbua majipu hadharani na faraghani, akanunua ndege mpya kwa lengo la kufufua shirika letu la ndege, na kadhalika na kadhalika.
Swali ibuka ni je, watu wanaompinga rais Magufuli sasa hivi, pia wangempinga Lowassa kama angekuwa ndo yeye anayafanya hayo anayoyafanya Magufuli?
Au wangemmiminia sifa kemkem na kusema kwamba acha awanyooshe maana walikuwa wamezoea?