Anatoa kipande cha nyama.anang'ata kwa style ya kugonga!
Mpe pole, yawezekana nyumba za kulala wageni huwa zinajaa sana.
Kwanza mimi nilijua ni wewe, kila nikipiga simu haipatikani, nikasema babu wangu mie kadokolewa nanyoka shambani akiwa na kibarua wake, hivi nilikuwa najiandaa nije huko. afadhali umejitokeza mwenyewe. mzima babu wangu mie???????????
Marahaba Mkuu, vijijini hakuna nyumba za kulala wageni, hata mimi niliwahi kwenda kwenye shamba la mihogo. Ukija huku kwetu Chanika itabidi nikupeleke vilevile kwenye shamba la mihogo. Hehehehehehe!
Hahaha sio mimi kipenzi..!! Nikiwa uku kazi kazi tu.. Ukiona sipatikani njoo moja kwa moja shambani umeskia eeh..!! Mimi mzima kabisa wa afya sijui wewe usingizi wangu?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kumbe nyoka anang'ata sio anagonga.?
Mpe pole, yawezekana nyumba za kulala wageni huwa zinajaa sana.
Mkuu inaonekana una uzoefu Mkubwa Na Wake Za Watu.