Andiko gani? kwenye biblia linayosema aliyookoka hajitangazi?.
Kuokoka kuna maana nyingi labda ulikuwa unatumia madawa ya lulevya, ulikuwa ni mzinzi sasa ukiacha manaake umejiokoa kutoka katika mambo hayo lakini swala la kuokoka mbinguni katika hukumu ya Mungu nadhani yeye ndio anajua nani ameokoka kulingana na matendo yake.