Ang'atwa na nyoka akizini na mke wa mtu

Ang'atwa na nyoka akizini na mke wa mtu

Huyo alivuruga majani hadi nyoka akakasirika na hii ndio shida ya kumla mke wa mtu romance,sikuzote ukiwa na mke wa mtu usitake kulemba lemba, akome.
 
Acha kupotosha jamii. mimi ni mlokole.

Una Ulokole Gani Mkuu Wakati Unaleta Thread Za Ajabu Eti Kwa Nini Binadamu Hawezi Kuumba Binadamu,mimi Nahisi Utakuwa Ni Wewe Tu Na Umeponea Kwenye Tundu La Sindano,koma Kabisa Kubeba Wake Za Watu Unakuwa Na Tabia Mbaya Kama GENTAMYCINE.
 
umeokoka baada ya haya masahibu?

Mbavu Zangu Mie Tehehehehehehehehehehe,nimecheka Sana,atakuwa Ni Huyu Huyu Shyland,kitendo Cha Kujihami Ulokole Wakati Si Mlokole Kinadhihirisha Kuwa Anakwiba Wake Za Watu,ulokole Kautoa Wapi Huyu?
 
Huyo alivuruga majani hadi nyoka akakasirika na hii ndio shida ya kumla mke wa mtu romance,sikuzote ukiwa na mke wa mtu usitake kulemba lemba, akome.

Mkuu inaonekana una uzoefu Mkubwa Na Wake Za Watu.
 
Mbavu Zangu Mie Tehehehehehehehehehehe,nimecheka Sana,atakuwa Ni Huyu Huyu Shyland,kitendo Cha Kujihami Ulokole Wakati Si Mlokole Kinadhihirisha Kuwa Anakwiba Wake Za Watu,ulokole Kautoa Wapi Huyu?

walio okoka huwa hawajitangazi....matendo yao tu yanajieleza
 
Mbavu Zangu Mie Tehehehehehehehehehehe,nimecheka Sana,atakuwa Ni Huyu Huyu Shyland,kitendo Cha Kujihami Ulokole Wakati Si Mlokole Kinadhihirisha Kuwa Anakwiba Wake Za Watu,ulokole Kautoa Wapi Huyu?

Usihukumu usije ukahukumiwa, mimi ni mlokole wa mda mrefu sana.
 
mabinti wa kipwani kina mama salma hawakubali za maporini japo tezi dume wanakupa......
 
mabinti wa kipwani kina mama salma hawakubali za maporini japo tezi dume wanakupa......

Naona Wewe Unatafuta Ugomvi Na Mkuu Wa Kaya,haya Shauri Yako Tutasikia Umefungwa Maisha Keko.
 
Kijana mmoja ameng'atwa na nyoka mwenye sumu kali akiwa msituni akivunja amri ya sita na mke wa mtu.

Inasemekana ndio ilikuwa tabia yake kufanya uchafu huo na mwanamke huyo asiye mwaminifu ktk ndoa yake.

Sasa leo kama kawaida wakaamua kufanya uchafu wao eneo hilo ndipo wakiwa bado wanaendelea na starehe
Mr. Eric, hilo ni tendo la heshma usiliite uchafu!, huwezi jua kama huyo mke kwenye ndoa yake anatoshelezwa au la, ikitokea mke hatoshelezwi ipasavyo ndani ya ndoa yake, ni rukhsa kupata raha kwingine popote!. Kufanya mapenzi nje ya ndoa sio kosa la jinai!. Mungu alituumba kila mtu apate raha, hivyo msiwasakama watu kwenye raha zao!, usikuta huyo kijana ndie mkombozi wa huyo mwanamke!.

NB. Mwanza na Shinyanga nyoka hutumiwa sana kwenye ulinzi dhidi ya wezi haswa mashambani, sikuwahi kusikia pia kumbe wanaweza kutumika kulinda ndoa!.

Pasco
 
Acha kupotosha jamii aliyekuambia ni mm ni nan? MO11 kanusha kauli yako vinginevyo tutakakosana maisha.

duniani kuna watu bilioni saba yaani kukosana na wewe ndio iwe tabu ??
hebu amua lingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom