Angalizo: Usitafute mchumba kanisani

noted
 
Mmh
 
Ni kweli lakini huko makanisani pia kuna wazuri siyo wote wabaya.
 
Trend word 2018; watu wanapigana mijeredi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mkuu Umemaliza... Hekima iliyoshiba
 
Mkuu upo sahihi... Watu hawajui kuwa Kila binadamu Ana matatizo na kwamba hii Dunia ndivyo ilivyo na Kila mwenye tatizo anahangaika kutafuta Msaada..
 
Nani aliwambia wanawake wa kuoa wanapatikana kwenye nyumba za ibada? Nyumba za ibada ni sehemu ya kuabudu na sio dating sites.

Si kila mtu mwema ni mtu sahihi.
 
On
Onpoint ujakosea wapiga vinanda wanatia kweli dada zetu mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…