PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,517
- 13,264
Oh oo oo!!!Very true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.
Makanisa ya kilokolee ndo usime, one day nimeenda kwenye moja wapo ya hilo kanisa.
Aiseee acha kabisa kumbe wanawake na waume wanaosali pale 70% wana matatizo makubwa mengine ayafai kusimulia.
Nenda msikitini cyo kanisanMakanisani ndio sehemu kwenye mafisi wengi wenye ngozi za kondoo.
Watu wengi waliokosa wachumba hukimbilia kanisani kudhani kuwa mke bora au mke mwema hupatikana kanisani, lakini mke mwema hutoka kwa Mungu. Penye watu wawili au watatu Mungu yupo katikati yao.
Makanisani watu ndio sehemu yao ya kutembeza ngoma, huko watu wanapigana mijeledi kinoma.
Waimba kwaya ni wazinzi kinoma.
Vijana ni wazinzi, wapigaji mizinga na matapeli kupindukia. Ukitaka mwenzi mwema, usiende kumtafuta kanisani, muombe Mungu akupe, naye atakupa kutoka kwenye hazina yake.
Huenda mkakutana kwenye daladala, au sehemu yoyote ile, usikate tamaa, Mungu ana jibu kwa wakati wake.
Ombeni bila kukoma.
HakikaNikuwa makini na kumshirikisha Mungu kwa kila jambo,..dunia ina mengii..
Yes hata Bar kuna watu walikutana na wake zao bar na wanaishi kwa amani.
Kikubwa kuendana na mke unaemuoa hata umtoe wapi kama hamuendani litakua ni tatizo tu
Very true Mkuu, wengi wa watu wanaoenda kushinda makanisa hasa haya ya ulokole ni wanafki sana. Zamani nilikua nikimuona demu mkali anasali makanisa ya kilokole namkimbia najua amekwisha ungua anatafuta muujiza.
Kama ulivyo wa kwakoUnafiki wao ni upi?
Vipi alikufanyia mauza uza ganiKAMA MIMI YALIYONIPATASINA HAMU NA HAWA VIUMBE WA KANISANI CHA AJABU BADO YUKO BIZE KANISANI LAKINI TABIA MBAAAAAAAAAAAAAYAAAAAAA......SIJUI HAJIJUI?
Kuna version za Bible zimeandika mke mwemaMkuu nakubaliana na wewe lakini naomba nikusahihishe kidogo, hapa duniani hakuna mwanamke mwema hata mmoja, kwa kifupi hakuna mtu mwema hata mmoja na hili alilisema YESU mwenyewe.... Ukimwomba MUNGU utapata mke mwenye "busara" na siyo mke mwema. Hata kwenye Biblia imeandikwa; "mke mwenye busara atoka kwa BWANA" Mithali 19:14