Angalizo kwenu . . .

Halafu Elizabeth Dominic,umeniambia kama nasema hayo bila kumshirikisha Mungu napotea,unamzungumzia Mungu yupi?Nijuavyo mimi kila Mungu ni tofauti na ana sifa zake.Kuna wanaomuabudu Mungu anaezungumza kuhusu mke mmoja,kuna wale wa mungu wa wake wanne,kuna wasioamini Mungu kama akina Mtambuzi....Lol,kuna wapagani,sasa unazungumzia yupi?Kwa mfano,nikimzungumzia yule anaesema kuhusu wake wanne,itakua ni dhambi na ni uzinzi kwa wale wa mke mmoja.Lakini vp wasiokuwa na mipaka ya idadi ya wake?Kumbuka hata tafsiri ya uzinzi inachanganya kama tukiiangalia kwa jicho la kiimani!
 
Last edited by a moderator:
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au unaogopa maradhi,au una mke/mume au unaogopa macho ya watu,hizi ni sababu nyepesi sana zina muda. . . . . . . . . . . . . . . . ,. . . Siku matarajio au sababu yako ikikosa mashiko unaweza kujiona mjinga na huna maana.Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Fanya au kuwa mwaminifu kwa sababu ni ubinadamu,uzinzi au kuwa na wanawake/wanaume wengi ni kinyume na ubinadamu,yaani ni tabia ya wanyama wasiofikiri!

amen! You have said it all mwenye macho na asome..
 
Okey ...bu for one condition "lazima meza ya best man ipendeze kwa vinywaji full stop"

U name any color of the drink u want best shem; ila ubehave tu, isije ukanifananisha na best lady! Au ukajiona bwan'harusi!
 
U name any color of the drink u want best shem; ila ubehave tu, isije ukanifananisha na best lady! Au ukajiona bwan'harusi!

Nita-behave usijali lakini in one condition "best lady awe mnywaji pia"
 
Gilo24 ni kwanini unadhani Mungu anatakiwa aogopwe?

Eiyer Mungu hapaswi kuogopwa ila kuwa na hofu/kicho kwa Mungu,tatzo watu wa leo si wa kwenda kanisani si wa kwenda msikitini si watu kwenda kwenye matambiko(namaanisha dini za kimila)hivyo tunaishi holele,hakuna namna unaweza kuishi vyema bila kuwa na Imani yako juu ya suala fulan,kw mfano mwenyez Mungu ndiye anatupa akili na uwezo wa kupenda,binafsi nadhan Hofu juu ya Mungu ni genuine hatuwez kuiacha pending,otherwise hoja yako imesheheni,pokea likes nyingi!
 
Kongosho kibibi kizee cha turin, charminglady tuna makovu tayari, Smile angalau...ila in one condition "nitampeleka mwenyewe nyumbani after parry"

Kongosho atakupa maujuzi,
C'lady mnaweza kumbushia,
Smile bado anabania kipochi chake, hata ukimpeleka utaishia kumkiss goodnite kiss kwenye cheek!
 
Last edited by a moderator:
The Boss,yes una weza usijaribu,lakini kwanini ni kosa kufanya ngono kabla ya ndoa?Ndoa nini? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Pamoja na hayo mi sijasema uwe mwaminifu kwa mtazamo wa kidini!

Eiyer kwenye Bible wameandika hivi mtu anapooa/kuolewa anapata kibali kutoka kwa Mungu kwamba hataitwa muasherati au mzinzi kwasababu amejipatia mke ambaye ni mali yake so that act is valid given you are married to your wife upo kwenye ndoa so ni haki yenu wote wawili unapo go beyond boundaries ya hizo bolded title unakuwa unazi own .
 
Back
Top Bottom