Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi. HOFU YA MUNGU NI MUHIMU SANA KATIKA SWALA ZIMA LA UAMINIFU NDUGU NA WALA SI SABABU NYEPESI KAMA UNAVYODHANI! HII NIKWASABABU MUNGU YUPO MILELE NA MILELE NA WALA HAKUNA UBINADAMU KAMWE BILA HOFU YA MUNGU MAISHANI MWAKO.
Siku uoga ukiisha hautakamatika!
Najua hili jambo limeshajadiliwa sana,sina maana nalileta tena ila natoa angalizo kwa wale wanaoliishi. . . . . . . . . . . . . , . . .Kuwa mwaminifu sio kwa sababu Mungu amekataa uzinzi,au unaogopa maradhi,au una mke/mume au unaogopa macho ya watu,hizi ni sababu nyepesi sana zina muda. . . . . . . . . . . . . . . . ,. . . Siku matarajio au sababu yako ikikosa mashiko unaweza kujiona mjinga na huna maana.Mfano;unapofanya uaminifu kwa sababu ya maradhi,je ikipatikana dawa ya maradhi hayo?Uaminifu wako si utafikia kikomo? . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Fanya au kuwa mwaminifu kwa sababu ni ubinadamu,uzinzi au kuwa na wanawake/wanaume wengi ni kinyume na ubinadamu,yaani ni tabia ya wanyama wasiofikiri!
Na ubinadamu(utu) ukikutoka je?.....