Angalia utakatishaji wa fedha unaokuja

Angalia utakatishaji wa fedha unaokuja

CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia.

Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell!

Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na helcopter? Nonsense! wanadhani watu wajinga!
Shughulika na chadema yako,tuachie CHAUMMA yetu...
""TUJENGE PAMOJA CHAMA CHETU CHAUMMA""
Ndicho chama sahihi kwa watanzania wote,lakini kwa wale tu,
Wenye uelewa mpana!....
 
Wajinga wemetuharibia chama chetu cha kula wali na Hashim rungwe spundaa
 
Shughulika na chadema yako,tuachie CHAUMMA yetu...
""TUJENGE PAMOJA CHAMA CHETU CHAUMMA""
Ndicho chama sahihi kwa watanzania wote,lakini kwa wale tu,
Wenye uelewa mpana!....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom