CHAUMMA hawana wanachama wa kuwachangia.
Watachota fedha toka hazina kupitia ubabe wa CCM, then wajifanye wamechangiwa....time will tell!
Jiulize, Chaumma ilipata wapi hela za kuzunguka na helcopter? Nonsense! wanadhani watu wajinga!
Raia wanne wa China, Deng Anqing, Fan Zhong Hua, Zhang Jianjun na Den Qiang wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es salaam wakikabiliwa na mashtaka matatu ikiwemo la kuteka nyara kwa nia ya kudhuru na utakatishaji wa fedha.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao leo Juni 18...
Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo.
Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.