adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,035
- 15,540
mi nna ndugu yng anafanya staree usiku halali analala asubuhi anaamka sa10 jioni anaanza staree tn
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf imeshindikanaSasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,
Sisi tuletee story za ngono na udaku,
Sisi tuletee discussion za sizonje na lissu,
Sisi tuletee story za wema kaachwa na diamond anamchukua,
Mkuu tafadhali sana tena jiheshimu sisi tunataka kujua kiba na mondi nan mkal
Mkuu hivi una akili kweli kutuambia hayo mambo yako kwani umeshindwa hata kutuma picha za vigodoro kina dada wanamwaga radhi,
Sijui umetuonaje mkuu mpaka unaleta story zako hizo sisi tunataka kusikia kama ommy dimpoz ni shoga au vip,
Hivi kwanini hukuleta hata story ya mimba ya wema kutoka tena si walikuwa mapacha eee hiyo hujaona au dharau,
Bas acha yote huwezi kuongelea hata ivan don na kuzikwa na pesa,
Anyway hayo yote juu umeshindwa lalamikia basi hata mitandao ya simu kwamba bando hazitoshi hatuwezi tena kustream online video za ngono
Mkuu bhana unaboa sana kutuletea vitu tusivyotaka kusikia
Duh!Sasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,

na hii ndio point ya msingiKupanga ni kuchagua kila mtu na utashi wake....tunatofautiana malengo na mtazamo wa maisha kiujumla.....PAMBANA NA HALI YAKO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dunia ya leo kuna watu wanaolala masaa 8 kweli?
Mbona wengine hata masaa manne hatuyapati?
rarenisasa unatakaje tusirare au
mi nna ndugu yng anafanya staree usiku halali analala asubuhi anaamka sa10 jioni anaanza staree tn
Sent using Jamii Forums mobile app
dolla kitu gani? hapa tunazungumzia jinsi unavyoweza kutengeneza chain ya hela hata kama upo kitandani unaumwa?? jinsi unavyoweza kuamua utakavyo kwenye maisha yako na hakuna wa kukupangia!! UN wanakuajiri ili kutumia muda wako ambao ww umeshindwa kuutumiaHiyohiyo unayoita miaka 8 kuna mwenzio kaajiriwa private nzuri, anazikamua kwa dolari mwisho wa mwezi na anamake life ya kutosha duniani,
Tatizo sio muda, KAULIZE TU KAMA MSHAHARA WAMEONGEZA JULAI HII AMA VIPI?

Nakushauri rudi chuo ulicho soma au shule waambie wakurudishie ada yako mkuu fanya himaHata ukijiajiri lazima utapangiwa.Mwajiri wako ni mteja, sharti akupangie limited unaamka na lini unanalala.Hizi hadithi za Uhuru wa kufanya utakavyo Kwa Kuwa umejiajiria ni Uongo.Siku hizi dunia ikebadilika,waliohudhuria kwenye ajira pia wameajiri watu,wamewekeza maeneo tofauti,mbali na ajira!!Anahamisha pesa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Yule Mjapani,Kwa jina Robert Kiyosaki alifungua macho ya wanatamani kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tuu mkuu, hapo bado hujatoa zile week end na zile siku za mapumziko ya sherehe za serekali na za dini aisee , yaani ni unaweza ukawa umefanya kazi effectivelly miaka mitano tu aisee, sijuii kwa utaratibu huu kama maendeleo yapo aiseeWazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.
Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.
Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.
Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25
Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.
Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story
By Chasha Farming
Sent using Jamii Forums mobile app