Angalia umasikini unavyotengenezwa kupitia muda

Angalia umasikini unavyotengenezwa kupitia muda

Sasa unatafuta vita wewe sisi huwa hatutaki kusikia vitu hivi,
Mleta mada mzabizabina, hajuwi sisi ni watu wa kulaa au kukaa chini ya vivuli vya mti siku nzima tunapiga story? Hayo ndio maisha yetu, kama vipi kuhudhuriria misiba 2 au 3 kwa wiki mtaani msosi wa bure, sia ajabu pale pale msibani kupata tenda ya kupalilia kupanga viti au hata kulia! Mwambie ajali yake, sisi tumebobea kukaa nje ya fremu kwa mangi kupiga story toka asubuhi mpaka jioni kama sio kukaa ndani ya fremu za watu kubadilishana mawazo, tubet kidogo, tucheze Biko, tumendee wanafunzi pamoja nayo noma (twatumia condom siku hizi), huyu bwana hajuwi kuwa barabarani kuna ajali nyingi? Tusipokaa pembezoni na kukimbilia ajali au kituko chochote nani atawasaidia wale? Sisi vijiweni ndio wa kutengeneza stori, mara huyu kaanguka na ungo, mara paka mweusi kaonekana uchochoroni au kunguru kafia mlangoni!
Atuache na maisha yetu mtaani, jioni tupo barabarani kukiwa busy na vipaja, shingo, vichwa chakuku hata utumbo kama sio firigisi, maisha yanaenda, maendeleo maendeleo nini, jamaa yuko kama magufuli aise, anaboa kinoma, kama kibarua kikipatikana pamoja na kwamba hatuna vyeti tutajuwa cha kufanya, ahhha nilisahau mkuda kagunduwa hili, ila no sweat tutapata njia mbadala nyingine tu..
 
Huyu jamaa hajajitambua kachukua hii kitu sehemu kacopy n kupaste bila kuitafakari..very disapointing
 
Kungekuwa na kanuni ya kufanikiwa kimaisha sijui ingekuwaje.
 
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.

Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.

Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.


Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25

Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.

Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story

By Chasha Farming

Sent using Jamii Forums mobile app

mh watu hadi sa 8 usiku wapo barabarani wanauza nyanya na vyombo wengine ndo kwanza wanatafuta abiria jiulize sa ngapi wanalala na sa 10 alfajiri wapo barabarani tena
 
mh watu hadi sa 8 usiku wapo barabarani wanauza nyanya na vyombo wengine ndo kwanza wanatafuta abiria jiulize sa ngapi wanalala na sa 10 alfajiri wapo barabarani tena
Kiboko ni story nilizopewa na wapiga box US na Ulaya, kama kweli lakini, wanapiga box 6am - 6pm, wanala kwenye car park masaa 2 au 3, wanaamka, wanaanza box lingine 10pm-2pm, wanarudi kwenye car park, wanarudi tena asubihi 6am-6pm! Hwana J2 Jmosi Sikukuu au misiba, box to box tu. Kama ni kweli kule hatari kabisa! Hapa lazima tuwashangae jinsi tulivyo na maduka yetu kufunguliwa saa nne asubuhi..Na hapo tumewahi!
 
Hahahahaa., pole mkuu, ila let's be honesty katika hayo manne unayolala najua JF ina mkono wake hapo hadi ukabakiwa na hayo manne.
Hapana. Jf nimepunguza hadi robo saa kwa siku.
Siku zinavyozidi kwenda jf inapoteza mvuto.
Nadhani siku chache zijazo naweza kutoka kabisa humu.
 
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza kututawala tu hiyo ni kigezo tosha!

Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrika wawe masikini zaidi ni kuwagawanyia muda.

Waligawa vipi?

Masaa 24 wakagawa kwa 3

24/3=8

wakapata masaa 8.

Wakasema hivi.

Lala angalau masaa 8 kwa siku

Pumzika angalau masaa 8 kwa siku

Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.

Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.

UMELALA MIAKA 25
UMEPUMZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25

Sasa chukulia kwamba

Shule ya msingi umesoma miaka 7
Sekondari O & A Level miaka 6

Chuo kikuu miaka 3

Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 18 chukua 25 ya kazi toa 18 utapata miaka 7.

Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini! Ndio maana Ma profesa pamoja na kufanya kazi wakistaafu wanajafanya kwa mkataba.

Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Afrika.

Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.

Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulala, kupumzika na kusoma then end of story!
 
Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.

Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.

Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.


Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25

Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.

Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story

By Chasha Farming

Sent using Jamii Forums mobile app
MI NIMEKUELEWA FASTA
 
Ndio ndio tutajua kila kitu kwa kipindi hiki.... dadek

Sent from "La -Vista"
 
inategemeana na locations mtu alipo, mfano kwa watu wa mijini hususwani hizi zenye misongamano ya watu na usafiri hio formula inakuwa ngumu kufuata hata kwa seniour operations manager wa hapo dar, ila kuna baadhi ya wanavijiji huko REA inapo tarajia kuingia watu wana lala masaa 9, yaani wanaingia bed na vyuku..

lakini pia hamna tabu kama utaamua kutokulala miaka 30 ya mwanzo, then ufanye kazi miaka 20 kisha uje ulale iliyobaki no problem
 
Back
Top Bottom