Maarab
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 415
- 257
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..Omar kopaa Mungu amrehem Kipenzi.Hii mada ni ngumu mkuu kama unezoe za mipasho sio rahisi kuelewa kitu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]..Omar kopaa Mungu amrehem Kipenzi.Hii mada ni ngumu mkuu kama unezoe za mipasho sio rahisi kuelewa kitu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usisahu Ibada..We jamaa uko vema sana kichwani
Wajinga watakupinga
Kwa ufahamu wangu kupumzika ni only 20days ya mwisho Wa mwaka na siku zote zilizobaki ni kukimbiza shilingi
challenge..Hapo cha muhimu ni kulala masaa 8 na yaliyobaki ni kwa ajili ya kazi na kupumzika kwa sababu huwezi Fanya kazi masaa 16 bila kupumzika kwa kula, kuoga, kucheza, kusali, kufanya usafi wa Nyumba, kwenda meetings za kijamii.
Ukicomplicate utakuwa unataka kubadili maana halisi ya maisha.
Kwani hiyo miaka 17 ya kusoma ulikuwa hulali? Na mbona hujajumlisha miaka 6/7 ya awali toka umezaliwa mpaka kuanza kusoma? Kama umechukua umri wa miaka 75, ratio ya 25 kila sehemu ya kulala, kupumzika na kufanya kazi haiko sawa.
Note: kulala ni moja ya kupumzika.
Mkuu soma vizuri vitabu vya Kiyosaki, kuna pointi bado unaimisi.Hata ukijiajiri lazima utapangiwa.Mwajiri wako ni mteja, sharti akupangie limited unaamka na lini unanalala.Hizi hadithi za Uhuru wa kufanya utakavyo Kwa Kuwa umejiajiria ni Uongo.Siku hizi dunia ikebadilika,waliohudhuria kwenye ajira pia wameajiri watu,wamewekeza maeneo tofauti,mbali na ajira!!Anahamisha pesa kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Yule Mjapani,Kwa jina Robert Kiyosaki alifungua macho ya wanatamani kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Point noted..The important thing is to be productive not busy, time does not matter so much
Sababu kubwa ya sisi watu weusi kuwa masikini wa kutupwa Ni ubinafsi.Wazungu kwanza tukubali ni watu wajanja sana na IQ zao sio za kawaida yaani kwanza tu kutitawala hiyo ni kigezo tosha. Wazungu walikaa chini wakaona moja ya njia za kufanya watu hasa Waafrica wawe masikini zaidi ni kugawanya muda.
Waligawa vipi?
Masaa 24 wakagawa kwa 3
24/3=8
wakapata masaa 8.
Wakasema hivi.
Lala angalau masaa 8 kwa siku
Pumzika angalau masaa 8 kwa siku
Fanya kazi angalau masaa 8 kwa siku.
Sasa kama Una miaka 75 au ukafika miaka 75 maana yake ni kwamba.
UMELALA MIAKA 25
UMEPUNZIKA MIAKA 25
UMEFANYA KAZI MIAKA 25
Sasa chukulia kwamba
Shule ya msingi umesoma miaka 7
Secondary kidato cha 4 miaka 3
Kidato cha 6 miaka 2
Chuo kikuu miaka 3
Masters kama utaenda miaka 2
Jumla miaka 17 chukua 25 ya kazi toa 17 utapata miaka 8.
Hii ndo sababu ya wasomi kufa masikini ndo sababu ya Maprofesa pamoja na kustafu wanafanya kazi kwa mkataba. Haya masaa walitengenezewa watu wavivu hasa Africa. Wao hawayatumii kamwe nenda Japana nenda China.
Sasa kwa staili hii kuna tulio kuja Dunuani kulalal na kupumzika na kusoma then end of story
By Chasha Farming
Sent using Jamii Forums mobile app
Sababu kubwa ya sisi watu weusi kuwa masikini wa kutupwa Ni ubinafsi.
Yaani namaanisha kukosa ushirikiano.
Ushirikiano siku zote unalipa ndio Ni mgumu mno kufanyika hasa kwa watu weusi.
Wanaosoma biblia wanajua stories ya mnara was babeli namna watu walivyokuwa wamenuia kujenga mnara- na waliekea kufanikiwa.
Mafanikio hutokana na vitu vidogo vidogo tunavyofanya kucompound kwa muda mrefu.
Sasa sisi watu weusi Kila mtu anaishi as if ndio anaanzisha ukoo.
Yaani Kila mtu anaanza SIFURI.
Hakuna msingi wowote uliojengwa na watangulizi wako.
Ni lazima tamaduni zetu zibadilike kwanza.