Mbona watu ni wengi,unajua mtwara sio sawa na dar au mwanza au arusha so nyomi imetulia wakuu,ni mapema sana kujudge,tuwe wavumilivu campaign zikianza ndo tutajua mbivu na mbichi
mfano huo uliouotoa mkuu uko biased anyway kwanini asingepiga picha zaid ya moja ili tuone idadi ya watu katika view/angle zote?
Good morning!!! Watu wana maneno
. "KIKWETE KILA ANAPOKWENDA ANATEMBEA NA MAGUFULI KWASABABU. ANAHOFIA AKIMUACHA PEKE YAKE ATAHAMIA UKAWA"... 😄😄😄😄😄
mfano huo uliouotoa mkuu uko biased anyway kwanini asingepiga picha zaid ya moja ili tuone idadi ya watu katika view/angle zote?
Nasikia Mtwara wa!!lijitokeza watu 257 tu..aibu kubwa hii...
Mleta mada na mpiga picha wote wagonjwa unapiga picha kupalaza juu ili iweje.
Umati cyo sababu ya kutoa jibu kuwa ni ushindi amuulize lyatonga mlema aljaza watu but alipata kura ngap kwahyo Kuwa na watu wengi hakumaanish ushindi alikuwa na mbwembwe hivyohivyo kipindi anatia nia ccm yako wap na hata sasa amalize hela zake asitegemee kuapishwa octoba kama wanavompamba viongoz wake bali atarajie kujinyonga octoba cc watanzania tunamtaka rais aliyechaguliwa na mungu na cyo pesa
CCM wenzangu kazi tunayo sana mwka huu, na ukijumlisha na TANESCO wanavyo kata umeme ni shida sana
Yan walikua wamechooka woote! Hata Mwigulu hadi ndevu alishindwa kunyoa. Amevurugwa hadi anasema eti wanaotaka urais kwa kutumia nguvu ili warudishe pesa walizohonga kwenye kura za maoni! Hivi urais wa ccm nao wanapigiwa kura za maoni? Kweli Lowasa amewavuruga ccm
Magufuli kwake hiyo ni tsunami kwa sababu hana reference ambayo alishawahi para watu wengi.
duuh mbona ni Makada wenzangu wako wapi wananchi Wa kawaida.
Kama hapo mahali upajui ni bora ukae kimya.. Huko Makufuri anakoangalia ni barabarani, na kushota kwa Makufuri ni ofisi za watu. Huo usawa uliopigwa picha ndio kwenye nafasi ya watu wengi kukaa..