Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.
Mbona watu ni wengi,unajua mtwara sio sawa na dar au mwanza au arusha so nyomi imetulia wakuu,ni mapema sana kujudge,tuwe wavumilivu campaign zikianza ndo tutajua mbivu na mbichi
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.
CCM wenzangu kazi tunayo sana mwka huu, na ukijumlisha na TANESCO wanavyo kata umeme ni shida sana
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.
kwani hujui kwamba wana ccm tumechoka kukopwa halafu hatulipwi baada ya kutumika kwenye jua kali?Mbona watu ni wengi,unajua mtwara sio sawa na dar au mwanza au arusha so nyomi imetulia wakuu,ni mapema sana kujudge,tuwe wavumilivu campaign zikianza ndo tutajua mbivu na mbichi
We jamaa mburula kweli hapo ni kwenye ofisi za ccm tena za wilaya magufuli anatafuta wadhamini acha kupotosha watu.Huyu jamaa anagombea ubunge au udiwani
Magufuli anadharirika si mchezo
Ulishatoka bawacha ukahamia ccm tangu lini we mdada.kwani hujui kwamba wana ccm tumechoka kukopwa halafu hatulipwi baada ya kutumika kwenye jua kali?
yaani mtukope korosho na mahindi hata kupandishwa kwenye malori yenye vumbi napo mtukope pia? aibu yenuUlishatoka bawacha ukahamia ccm tangu lini we mdada.
![]()
HAPO ALIKUWEPO RAIS, MGOMBEA CCM,MWIGULU NA MAWAZIRI WENGINE
JE KAMA JK ASINGEKUWEPO?
We jamaa mburula kweli hapo ni kwenye ofisi za ccm tena za wilaya magufuli anatafuta wadhamini acha kupotosha watu.
ningekuwa mimi ningeairisha mkutano
Mkuu na wewe siku hizi ni kamanda?duuh mbona ni Makada wenzangu wako wapi wananchi Wa kawaida.
![]()
hapo alikuwepo rais, mgombea ccm,mwigulu na mawaziri wengine
je kama jk asingekuwepo?