Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

magufuli,jk,mwigulu na ccm yote WALINYATA ntwara
 
mpiga picha alipiga picha kuelekea kulia kwa ma.gufuli huku ma.gufuli mwenyewe anapunga mkono kuwaelekea wananchi walio kushoto kwake ambao inawezekana ni wengi kuliko mpigaji wa picha anavotaka kutuaminisha,,, wataalam wa kutoa tafsiri nzuri za picha watusaidie

Hapana hiyo picha iko sahihi kabisa wataalamu wa kupiga picha wanaita usawa anaotazama magufuri eye room au nose room yan anatazama wapi hivyo lazima useme nafasi kubwa anapotazama subject wako kuip huai picha yako. Na kama angeipa right side ya magufuri nafasi kubwa ungeeona watu wachache zaidi au angepiga picha akiwa nyuma ya magufuri ili upate picha ya magufuri na umati ungekua amekiuka taratibu za picha maana usingetambua kusudio lake kama mpiga picha ni kuonesha nini??. Labda kwa kusaidia maranyingi picha zinazotumika kuonesha umati wa watu wengi zinapigwa kutoka juu mfano nilizokua nikiangalia Katika msafara wa lowasa kuelekea NEC hivyo mpiga picha alikuja sahihi kwani nampongeza maana licha ya kupiga picha vizur lakini alificha ukweli kua wale watu ni wachache zaidi ya hapo wanavyo onekana kwa kutopiga picha za kutoka juu yani 90° angle.
 
mfano huo uliouotoa mkuu uko biased anyway kwanini asingepiga picha zaid ya moja ili tuone idadi ya watu katika view/angle zote?
 
Nasikia Mtwara wa!!lijitokeza watu 257 tu..aibu kubwa hii...
 
magufuli.jpg

HAPO ALIKUWEPO RAIS, MGOMBEA CCM,MWIGULU NA MAWAZIRI WENGINE

JE KAMA JK ASINGEKUWEPO?

Mnamwonea bure Magufuli, hiyo mikutano ya wanachama wao ndio maana wote wamevaa sare. Mnataka aanze kampeni kabla ya wakati?
 
Tumbili ilkua inaongea na ngedere nyenzake huku zikishauriana ni vipi tutaweza kuiba mazao ya watu
Na wakati wenye mazao wako makini sana siku hizi

Haya ndio maswali ambayo ccm wananajiuliza usiku na mchana tutaibaje kura hadi usiku wakilala wanaota kuna mwingine akaota goli la mkono lakini napenda niwaambie ccm mtatoka bilabila kwasababu njia mnayo pita sio sahihi.
 
Magufuli asipo pata wanasaikolojia na washauri wazuri atahamia UKAWA!
 
Umati cyo sababu ya kutoa jibu kuwa ni ushindi amuulize lyatonga mlema aljaza watu but alipata kura ngap kwahyo Kuwa na watu wengi hakumaanish ushindi alikuwa na mbwembwe hivyohivyo kipindi anatia nia ccm yako wap na hata sasa amalize hela zake asitegemee kuapishwa octoba kama wanavompamba viongoz wake bali atarajie kujinyonga octoba cc watanzania tunamtaka rais aliyechaguliwa na mungu na cyo pesa
 
Mbona Lowasa alienda ofisi za CUF ghafla juzi jumapili, pakafurika umati wa watu km mkutano wa hadhara? Kweli ulipo tupo! Yaani rais wa nchi, mgombea urais wawepo mahali wananchi wasifurike? how come!

Hilo nalo neno!
 
mfano huo uliouotoa mkuu uko biased anyway kwanini asingepiga picha zaid ya moja ili tuone idadi ya watu katika view/angle zote?

Wakati mwingine ukiwa mpiga picha ni muhimu kufukia mashimo japo ukweli unajionesha wazi tokea kwa subject kwa viashirio flan
 
Mbona naona nguo za njano na kofia za kijani tu ina maana ccm wamewapa hizo nguo raia wote waliohudhuria hapo na kuwaamuru wavae hapo hapo?
 
Back
Top Bottom