Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

Huyu jamaa amekata tamaa sana..Sijui alidhani U Rais ni kitu chepesi ? sasa huyu ni mgombea u Rais au anagombea Udiwani ?
Ni vema sehemu zote akikopita magufuri ndiko mzee wa kazi LOWASA aende kutafuta wadhamini huko ili afute nyao zao kabla ya kampein rasmi. Uongo ukiuacha mda mrefu mwishowe utaaminika.
 
Binti..kipindi lyatonga anagombea urais
1.mfumo wa vyama vingi ulikuwa na miaka 3
2.mimi na wenzangu wapenda mabaliko wa kizazi hiki hatukuwa na sifa za kupiga kura
3.kulikuwa hakuna UKAWA
4. Hakukuwa na RICHMOND,MEREMETA,DOWANS,ESCROW,MABEHEWA FEKI,BUZWAGI,RADAR FEKI,BUNGE LA KATIBA
5.kulikuwa na njia chache za kupata habari
6.Vyombo vya habari havikuwa huru.

km una kichwa cha Binadamu nadhani utakuwa umenielewa vizuri

Na kama ana kichwa cha kenge???
 
Acheni uongo wa kutengeneza picha za uongo. CCM imewaweza nyie, kila kitu live siku hizi. Hebu tafuteni jingine. Hili la 2015 Magufuli anasubiri kuapishwa tu.
 
Back
Top Bottom