Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

We jamaa mburula kweli hapo ni kwenye ofisi za ccm tena za wilaya magufuli anatafuta wadhamini acha kupotosha watu.

Hivi muda wa kutafuta wadhamini bado upo?
Au ni wadhamini wa namna gani?
 
Magufuli anatumika tu . Lazima achoke. Kumbuka kwamba hana busara na anayo dharau yakutosha. Kwenye hiyo mikutano nadhani huwa anajisemea moyoni kwamba nyie watanzania washenzi maskini nikiwa rais nitawanyoosha. Kama aliweza sema pigeni mbizi kama hamna cash huyo hafai.
 
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.

Mbona Lowassa alienda ofisi za NEC na watu wakajaa Buguruni hadi Kinondoni? acha kutoa povu mmeisoma namba magamba
 
Huyu jamaa amekata tamaa sana..Sijui alidhani U Rais ni kitu chepesi ? sasa huyu ni mgombea u Rais au anagombea Udiwani ?

Hahaaa.!!! Bora na diwani.. Mwenyekiti wa kitongoji wakuandaa sungu sungu.
 
Ccm inashinda hao wanywa viroba wa UKAWA mpaka Oct watakuwa wamepoteza kadi
 
Yan walikua wamechooka woote! Hata Mwigulu hadi ndevu alishindwa kunyoa. Amevurugwa hadi anasema eti wanaotaka urais kwa kutumia nguvu ili warudishe pesa walizohonga kwenye kura za maoni! Hivi urais wa ccm nao wanapigiwa kura za maoni? Kweli Lowasa amewavuruga ccm
 
"A picture speaks a thousand words"
kuanzia Saivi nikisikia kuna tsunami sitaogopa tena
 
magufuli.jpg


HAPO ALIKUWEPO RAIS, MGOMBEA CCM,MWIGULU NA MAWAZIRI WENGINE

JE KAMA JK ASINGEKUWEPO?

mpiga picha alipiga picha kuelekea kulia kwa ma.gufuli huku ma.gufuli mwenyewe anapunga mkono kuwaelekea wananchi walio kushoto kwake ambao inawezekana ni wengi kuliko mpigaji wa picha anavotaka kutuaminisha,,, wataalam wa kutoa tafsiri nzuri za picha watusaidie
 
Magufuli kwake hiyo ni tsunami kwa sababu hana reference ambayo alishawahi para watu wengi.
 
Mtwara wanasema CCM ni sawa na shetani wa kuzimu. Vijana wengi sana walipigwa na wanajeshi kipindi cha madai ya gesi. Kila mtu anasema anasubiri siku ya kura waionyeshe CCM cha moto
 
Yeye mbona kahonga kwenye kura Zach maoni ya ubunge mpaka takukuru wakamtia korokoroni singida.
 
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.

Eeeee!! Ni kweli na hilo jukwaa lilishuka kutoka mbinguni baada ya yeye kuwasili Hapo.!
 
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.

Wanachama wenu siku hizi wanaishi ofisi za chama na viongozi wanafanyia wapi kazi za chama!?
 
Duu hadi huruma aisee. Nilimwona Magufuli akitoa speech jana pale Bima (Ofisi ya CCM Mkoa wa Mtwara) nikaskia akisema "msitishwe na watu wanaohama kwa sababu walikuwa wanahama hata kipindi cha Mwalimu Nyerere" Dah yaani jamaa kanywea kweli huwezi amini ni yule aliyekuwa anajigamba siku ile Dodoma daa hadi nkamwonea huruma
 
CCM wenzangu kazi tunayo sana mwka huu, na ukijumlisha na TANESCO wanavyo kata umeme ni shida sana
Kweli huu ukataji wa umeme now its getting serious jana maeneo niliyopo hapa arusha 24 hours no electricity its too bad hivi mpaka lini kero hizi.
 
Hao ndio wapiga kura wa uhakika sio vibaka fuata mkumbo wasio na uhakika.
 
Back
Top Bottom