Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

Angalia Tsunami ya Magufuli Mtwara jana

chaikavu

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
760
Reaction score
473
magufuli.jpg


HAPO ALIKUWEPO RAIS, MGOMBEA CCM,MWIGULU NA MAWAZIRI WENGINE

JE KAMA JK ASINGEKUWEPO?
 
Mh. Wangeenda tuu wakamsikilize angeweza kuwaahidi kitu kizuri.
 
Inabidi CCM watafute strategy ya kumnadi Magufuli wakiendelea kumuweka na JK kwenye misafara yao, watazidi kupoteza idadi kubwa ya wafuasi, mimi nilikuwepo karibu na eneo la tukio lakini niliposikia atakuwepo na JK basi nikajua mkutano utani-bore jamaa kashusha sana mvuto kwangu sijajua kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom