Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.
hoja butu kwan magufuli hapend kufutwa nj watu ajitahidi sana waje wengi lakn akaambulia hao tu
Usiwe na jaziba kijana.Inategemea kusudio alilonalo.Ili watu wakusanyike, inatakiwa uhamasishajı na oganaizeşheni kwa ajili hyo.Huo ulıkuwa mkutano wa wanachama na hakukuwa na uhamasıshaji wa ajili ya hcho unachotaka.Staratejia pia zina tofautiana.
Tuache upotoshaji, Magufurı hakuwa na mkutano wa hadhara Mtwara jana.Alienda ofsi za Chama mkoa kusalimia wanachama.
Naona kama Magufuli amepungua hivi!?
Good morning!!! Watu wana maneno
. "KIKWETE KILA ANAPOKWENDA ANATEMBEA NA MAGUFULI KWASABABU. ANAHOFIA AKIMUACHA PEKE YAKE ATAHAMIA UKAWA"... 😄😄😄😄😄