ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 921
- 1,800
Mm ni CCM ila kwa haya yanayofanywa mm binafsi siungi mkono kabisa. Mathalani huku ninakoishi wapinzani wote hata wale unaona kabisa huyu kushinda ni asilimia 0 anaenguliwa kijinga jinga tu. Chama kinafaa kutumia upinzani kujipima mwelekeo. Hapa kila nyumba inaongea uchafu huu wa CCM na hata wale CCM wenyewe. Lazima tubadilike.