Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

Kwa hiyo ni wapinzani tu ndiyo wamekosea wale wa CCM wao walielewa vyema??
Yaa! kwa sababu ya kukurupuka eti ni makamanda. CCM wao wanakusanya wagombea wao na kuwapa semina ya ujazaji fomu, na pia wanawasimamia na kuhakiki fomu hizo kabla ya kupelekwa kwa msimamizi. Makamanda wanabaki oh! CCM wamekutana kufanya fitina.

Mihemuko huondoa maarifa. Ila ikumbukwe pia, kuna baadhi wanakosea maksudi ili kutimiza ile njama yao kuwa wameonewa kukatwa, kuwa ni mkakati wa CCM na serikali imefanya njama kuwaengua. Waziri ameagiza wakate rufaa. Lakini tayari kuna maelekezo ya njama hizohizo kutoka upinzani hasa (chadema) kuwa wasikate rufaa. Mfano, Diwani wa Rubya Muleba ameshaagiza wagombea wake wasikate rufaa.
 
Naomba niweke sawa hii Kitu!

Iko hivi.

Msajili wa Vyama Vya siasa katika Kumbukumbu zake,hana Chama Kinachoitwa "Chadema" bali ana "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" wala hana "CCM" bali ana "Chama Cha Mapinduzi"

Ndio Maana CCM tulikuwa na Semina Elekezi ili kukumbushana Mambo kama haya na Moja nilishiriki Kama Mgeni Mualikwa!

Ni Kweli Chadema Mmekosea Ujazaji wa Fomu zenu!nimeona fomu moja hadi nikaishia tu kucheka!!Sijui ni kwa sababu hamjui Chama Chenu kinaitwaje?!

Hii ni Legal Technicalities!Kisheria hakuna Chama Kinaitwa "CHADEMA" Wala hakuna Nafasi inayogombewa inaitwa "Mwenyekiti" kulikuwa na nafasi ya "Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa"wewe Unajaza "Mwenyekiti" Daah!!Poleni Watani zangu!

Chama Cha Mapinduzi na Maafisa wake walitimiza Majukumu yao kuwakumbusha wanachama kuhusu miongozo ya Chama wakati huo nyie mlikuwa mnapiga tu Porojo Mitandaoni,hamkuwa na Semina Elekezi??

Mmekosea Kweli na tusubiri Miaka mitano ijayo tukutane tena!!

Asante.

C&P
Hizo semina elekezi wangezifanyia kwa shangazi yako au? Ikiwa hata vikao vya ndani tu wanatimuliwa na policcm
 
Naomba niweke sawa hii Kitu!

Iko hivi.

Msajili wa Vyama Vya siasa katika Kumbukumbu zake,hana Chama Kinachoitwa "Chadema" bali ana "Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" wala hana "CCM" bali ana "Chama Cha Mapinduzi"

Ndio Maana CCM tulikuwa na Semina Elekezi ili kukumbushana Mambo kama haya na Moja nilishiriki Kama Mgeni Mualikwa!

Ni Kweli Chadema Mmekosea Ujazaji wa Fomu zenu!nimeona fomu moja hadi nikaishia tu kucheka!!Sijui ni kwa sababu hamjui Chama Chenu kinaitwaje?!

Hii ni Legal Technicalities!Kisheria hakuna Chama Kinaitwa "CHADEMA" Wala hakuna Nafasi inayogombewa inaitwa "Mwenyekiti" kulikuwa na nafasi ya "Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa"wewe Unajaza "Mwenyekiti" Daah!!Poleni Watani zangu!

Chama Cha Mapinduzi na Maafisa wake walitimiza Majukumu yao kuwakumbusha wanachama kuhusu miongozo ya Chama wakati huo nyie mlikuwa mnapiga tu Porojo Mitandaoni,hamkuwa na Semina Elekezi??

Mmekosea Kweli na tusubiri Miaka mitano ijayo tukutane tena!!

Asante.

C&P
Uko sahihi hakuna Chama kinaitwa CHADEMA kwa msajili.Wengi wa upinzani wamekosea kujaza
 
Upinzani kila siku tunawapigia kelele acheni kudandia dandia matukio mnapoteza concentration kwenye vitu vyenu.Ona Sasa walilifikiri kujaza mifomu ni kitu rahisi tu hakihitaji maelekezo
 
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
Kufunga ofisi za watendaji ndiyo mojawapo ya kanuni?
 
Jaribu kufikiria akili za madiwani na wabunge wa upinzani kwenye midahalo na michango mbalimbali bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani! Eti leo washindwe kujaza fomu za uchaguzi kwa usahihi!!!!? Na wale vi- laza wa ccm waweze? Haiingii akilini kabisa
..mfano yule diwani kilaza wa ccm kule katavi aliyesema kwenye kata yake kuna watu milioni 12!!
 
Wagombea wote wamekosea? Ni nani aliyekwambia wote wamekosea?
Mbona wapo waliorudisha fomu wa vyama vya upinzani na watagombea.
Ujinga wa ccm na viongozi wao bana unatia aibu!! Hivi inawezakanaje wagombea wote wa vyama pinzani kukosea fomu?? Kwamba ccm wao wako Safi wote Nchi nzima??. Kweli Nape alikuwa kichwa Sana na aliyetumia akili nyingi kuudhoofisha upinzan kwa akili nyingi kuliko nguvu za haya matahira
 
E1007E2B-09BB-4734-88EB-36C18EC5DCBB.jpeg

Ujinga ndio huu
 
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent

Acheni ujinga..Kwa hiyo hizo kanuni ndio zimeanza kutumika uchaguzi huu? chaguzi hii ya serikali za mitaa ndio ya kwanza kufanyika Tanzania?
 
...sawa, inamaana hawa wapinzani hawakuwa na uratibu kwenye zoezi hili!?

Wagombea wao waliachwa kama watoto wa kuku? Kwamba hawawezi kujaza majina yao kiukamilifu!? Miaka yote hizi kasoro zilikuwepo lakini si za awamu hii ambayo haina mawaa

Wasimamizi (watendaji kata) ni wa kutiliwa sana shaka kwenye huu mtanziko.
Ajabu hata wenyeviti waliomaliza muda wao nao uchaguzi huu wameshindwa kujaza fomu zao!!!
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Chadema wamezoea siasa nyepesi jana nimemsikia Jakob anasema hayo mambo yote ya kisheria ni vitu maina mimi sikumwelewa maina gani ya kupaka au.
Waachane na siasa nyepesi wakae chini wakamilishe matakwa ya kisheria hayo maina wengi hatujui kama yangeweza kuwasaidia.
 
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
Umeona mgombea wa upinzani kapita bila kupingwa???
 
Unasema wapinzani woote waleo ondolewa hawakufuata sheria waccm ndio walifuata
 
Kwahyo wapinzani tu nchi nzima ndio wamekosea wale wa ccm wamepatia inawezekana kweli??miaka takriban 24 ya siasa ya vyama vingi tz wasikosee chaguz zilopita ila chaguz hii tu ndio wakosee
 
...sawa, inamaana hawa wapinzani hawakuwa na uratibu kwenye zoezi hili!?

Wagombea wao waliachwa kama watoto wa kuku? Kwamba hawawezi kujaza majina yao kiukamilifu!? Miaka yote hizi kasoro zilikuwepo lakini si za awamu hii ambayo haina mawaa

Wasimamizi (watendaji kata) ni wa kutiliwa sana shaka kwenye huu mtanziko.
Sababu ingine ni hao watendaji kufunga ofisi kabla ya wakati nakukimbia wapinzani mwisho wasiku wanasema wamechelewesha form
 
  • Thanks
Reactions: Obe
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
So all opposition candidates non on the ruling part ??? Almost 99..9999%

Is goog gesture ZIDUMU FIKRA SAHII ZA ......... (1990)
 
Back
Top Bottom