Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

Sijawahi kuona ccm yenye hofu kama hii, eneo ninaloishi wapinzani hata robo tatu ya kijiji hawafiki, kuna nyumba imeenda familia nzima kuanzia baba mama na watoto kuchukua fomu za kugombea serikal ya kijiji, cha ajabu wamekatwa wote, baada ya kuona hizo hila kijiji kizima kimebadili uelekeo sasa hawawataki wagombea wao was ccm wakiopita bila kupingwa, na wameahidi kususia shughuli za maendeleo kama serikali haitabadili msimamo wa kuwarudisha wapinzan, hadi kama huku vichakani tu mwamko unakuwa hivi sijui huko mjini mambo yatakuwaje
 
Back
Top Bottom