Angalia mwongozo wa kanuni uliyowachinja Wapinzani

Na Ya watendaji kukumbia Offisi semina akatoa Mwenyekiti wenu wa CCM si ndio?
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
 
Wanasheria wapi? Nina Jamaa angu ni mtendaji kata kanitonya waliambiwa kabisa wakate kadri inavyo wezekana.

Kwa hiyo Jimbo lote la Mbowe walikosea kujaza fomu si ndio?

Ukiacha Semina Elekezi, Ccm walikua na wanasheria kabisa kuratibu zoezi kwa wagombea wasikosee kujaza
 
Jaribu kufikiria akili za madiwani na wabunge wa upinzani kwenye midahalo na michango mbalimbali bungeni na kwenye mabaraza ya madiwani! Eti leo washindwe kujaza fomu za uchaguzi kwa usahihi!!!!? Na wale vi- laza wa ccm waweze? Haiingii akilini kabisa
 
Kwahiyo unataka kutuambia ni wapinzani tu tena wote maeneo yote ndiyo walikosea?acha uzwazwa
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
 
Hapo Na.9 Hapo walikuwa wanahamasishana wasijiandikishe, nadhani Halima Mdee na mtu pekee aliyepaona! Sasa kituko unashawishi watu wako wasijiandikishe, halafu unatoka hapo unaenda kugombea, sasa sijui nani atakuchagua.
 
Hahaha.
Kwani mnatuoanaje yaaani?
 
Ujinga wa ccm na viongozi wao bana unatia aibu!! Hivi inawezakanaje wagombea wote wa vyama pinzani kukosea fomu?? Kwamba ccm wao wako Safi wote Nchi nzima??. Kweli Nape alikuwa kichwa Sana na aliyetumia akili nyingi kuudhoofisha upinzan kwa akili nyingi kuliko nguvu za haya matahira
Kwani wapinzani wamekosa wote. Wapo walioteuliwa. Which means wachache ndo wenye uelewa. Wengi ni vilaza kama wewe unatumia nguvu badala ya akili.

Tumieni akili ndugu zanguni. Wakati mwingine mnataka kuhalalisha fujo pasipo sababu.

Na hao watendaji wa uchaguzi nashauri kama itafaa waanike fomu zao jinsi walivyo kosea
 
Tatizo watendaji wamepewa maagizo mazito sana ambayo yanaweza sababisha kuchukiwa huku mtaani.WANECHAGUA KUMFURAHISHA MTU MMOJA NA KUWACHUKIZA WALIO WENGI.
Ongeza ya 24..Watendaji kukimbia ofisi na kuwakwepa wagombea wa upinzani.
 
CCM waliwapa wagombea wao semina elekezi jinsi ya kujaza wapinzani wakabaki mitandaoni kulalama sasa wamejaza vidole juu wamekosea wanalia .

Panueni akili sio vidole

State agent
Upinzani walikuwa wakiona ni kitu kidogo kujaza fomu tu wakajaa humu kubweka kuhusu CAG wakasahau kuwapa semina elekezi wagombea wao

Hiyo inaitwa technical knock out
 
Umenikumbusha wakat npo shule enzi hizo, kulikuwa na dada mmoja, binti mbichi kabisa, dharau nyingi kwetu wanafunz vidume haswa, anakuja bwenini hata usiku kukagua, kuna wakat anafungua mpaka masanduku yetu anakagua mpaka chupi zetu, vijana wawil kwa siri tukajitoa bila kumshirikisha yeyote mpaka leo ni siri yetu, tukaenda tukanunua petrol lita 2, kiberit na tukaandika bonge la barua la kumkanya, tukaweka mlangoni kwake vyote, kuanzia siku hyo tukawa tunakutana tu darasan
Ulivyosema mmbichi nikadhani nyie vijana wawili tena vidume mulimgegeda huyo Dada!
 
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152

2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11

3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153

4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11

6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152

7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11

8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11

9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152

10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152

11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152

12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153

13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153

14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153

15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154

16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.

17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152

18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154

19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154

20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154

21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153

22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)

23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)

Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama....
Watu wanahoji kipindi cha Kikwete wapinzani walikuwa hawakosei? Watu wanahoji iweje awamu hii wapinzani tu ndio wamekosea ila chama "TWAWALA" hakijakosea?
 
Kwa hiyo miaka yoote uchaguzi wa Serekali za mitaa wapinzani wasikosee kujaza fomu ila utawala huu tu ndio wapinzani wakosee wote kujaza fomu.
hii haiingii akilini hata kidogo
Zamani walikua wanawapuuzia tu ila sasa hivi ni kukaza kwa kwenda mbele maana wapinzani wanajifanya wajuaji kumbe mafala tuu.
 
Back
Top Bottom