Angalia jinsi Chauma "walivyosepa na kijiji" Tabora, umati ni maelfu kwa malaki, wasipuuzwe, wanakamata nafasi chama kikuu cha upinzani

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,725
Reaction score
31,305
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

Screenshot_20250612-041041.jpg
 
Hizi Ndizo propaganda za CCM na apparatus tools ZAKE.

Simple logic & reasoning Mbona ccm hawawafanyii FIGISU ,FUJO, KEBEHI ,MATUSI, VURUGU, DHIHAKA, MAJIGAMBO Hawa chauma Period!!

Tangu lini wewe chiembe ukawa na uzalendo wa dhati na mahaba niue na chauma.?!

Hizi Ndizo siasa za maji TAKA TAKA CCM ni failure na SERIKALI yake ndio failed state.

NO REFORMS NO ELECTION 😊
 
Mimi ni free thinker, sina chama
 
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

View attachment 3365211
Unapoandika uzi jf ujue unawaandikia great thinker.
 
Hizi Ndizo propaganda za CCM na apparatus tools ZAKE.

Simple logic & reasoning Mbona ccm hawawafanyii FIGISU ,FUJO, KEBEHI ,MATUSI, VURUGU, DHIHAKA, MAJIGAMBO Hawa chauma Period!!

Tangu lini wewe chiembe ukawa na uzalendo wa dhati na mahaba niue na chauma.?!

Hizi Ndizo siasa za maji TAKA TAKA CCM ni failure na SERIKALI yake ndio failed state.

NO REFORMS NO ELECTION 😊
We umerithi ugonjwa wa Lissu, wahi mirembe.
 
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

View attachment 3365211
fagio la kuifagia chadema katika ubora wake tabora dah! 🐒
 
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

View attachment 3365211
Una la kutueleza Erythrocyte au unaungana na McLaren kuzusha kuhusu OCS

Wakuu live zao zinapiga Jukwaani tu pekee kabla ya Photoshop 🐒🐒
 
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

View attachment 3365211
Watoto ni wengi kuliko ubwabwa
Kwa hiyo hapo kuna mikutano miwili?
Wananchi wengine wamegeuka kusini wengine kaskazini au wananchi wana vichwa viwili
 
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!

Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa tishio. Tule mtori......

View attachment 3365211
Mnafikiri mnaua CHADEMA kumbe mnatengeneza upinzani mkubwa zaidi. Badala ya kupambana na CDM, Sasa Kunaongezeka ACT na chaumma. Ni mwendo wa kuimaliza CCM
 
Back
Top Bottom