Angalia, hii ndiyo nini sasa?

mi sijaona ndani mkuu ni nini?

Hata mimi sikuweza kuchungulia ndani maana ingenilazimu nitafute ngazi au kiti, kisha kupandia na kuchungulia.

Hebu chungulia chungulia vizuri utaona vitu kwenye hiyo vent....teh teh teh teh
 
Nadhani ufafanuzi zaidi unahitajika.

Ni kweli Ndibalema kuwa makalio ya sufuria hayaogopi moto, sas macho yanapata wapi uoga wa kutazama?

Wewe angali vizuri utaona nilichokiona kwanini una hofu?

Ukikiona hutahitaji ufafanuzi wa ziada nini mimi nilikiona. Ila maswali la kujiuliza kwanini viko hapo? Ili iwe nini?
 
Sasa huku ni kututafuta ubaya! Si tutajuaje kuhusu hivyo vichupa. Aliyeviona alipaswa kuwauliza wahusika pale wangempatia jibu muruwa kabisa na yeye angakuja kutupasha hapa.

Mkuu, wewe sema tu. Kuna mwana jamvi mmmoja humu ndani aliwahi kuandika kuwa kuna vitu vingine usipende kuuliza-uliza unaweza kushushiwa mvua ya matusi na kama ukipona tena kwa upendeleo unaeweza pew makonde. Sasa , nilipowaangalia wenyeji wangu, nikaiogopa hiyo mvua ya matusi. Nikaona bora nikae kimya lakini nichukue ushahidi na kuja kuwashirikisha wanajamvi wenzangu. kama hujawahi kukutana na vitu hivyo basi ujue vipo.
Kwanini wanaviweka, sijui.
 
Bila shaka wewe ndiye uliyeiweka au una utaalamu na hivyo vitu. Watu wooote hawaioni wewe tu ndio ulikuwa wa kwanza kuibaini.

Aaah mkuu, mbona unamuonea Safari_ni_Safari. Yeye aliikuza picha akachungulia weee mpaka kaviona vitu. Kisha akaja na jibu sasa kosa liko wapi?

Umesomeka BB.
 
Nawe ni mpekuzi kweli!!! uliionajehiyo? angalia sana kuna vitu vingine ukiviona tu unapofuka.

kama nini mkuu..? hebu fafanua wengine watoto huku kuna vitu hatujaona tumeambiwa tukiona tutapofuka macho so kama nini..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom