sio mia kaka, kuna position ya hr manager, nafasi ni 12 lakini sistangu aliniambia alikuta raia ka buku hv, na karibu nusu ya walioitwa hawakuka! ni nowmer!
Nikweli aisee, hai ingii akililni kuita watu 1224 kuja kugombea nafasi 10 tu, umtoe mtu kidabaga kweli? labda huu ni mfumo mpya na watuambie faida zake ninini...
Kama hari ndio hii basi somo la Entrepreneurship linatakiwa kutiliwa mkazo mashuleni inasikitisha kuona watu zaidi ya 1000 wakigombania nafasi kumi this is very shame kwa wasomi wetu wakati kuna opportunity kibao bongo.