Angalia Hali tete UDOM leo!

Angalia Hali tete UDOM leo!

Mambo ya ajira hayo..Yote hii ni kwa ajili ya kupata $$$
 
Lazma tanzani tufanye interview kwa kutumia software. Itasaidia kuundoa usumbufu huu.
do u mean online interview? hahaah bado sana kwa nchi hii ya Tanganyika...labda baada ya miaka mingine 50 ya uhuru
 
Kila siku nazidi kujionea dalili kwamba Watanzania namnagani vipi. See this:

- Inakuwaje interview watu waitwe weekend? Ijumaa, interview ifanyike J'pili
- Uharaka wa nini hapa? kwa manufaa ya nani?
- Inakuaje watu waitwe kijumla jumla? hii inaendana na uharaka uliooneshwa kwa kuita watu weekend?
- Gharama za kutahini kundi lote hilo la watu ni busara? zimelipwa na nani? kwa manufaa ya nani?

Ni wazi kabisa kwamba lengo lilikuwa kuwanufaisha (1) wenye biashara ya usafiri, (2) wenye biashara za chakula na nyumba za kulala wageni (2) wenye biashara ya photocopy, etc.

Nachukua fursa hii kuwashukuru (au kuwapa pole) nyote mliotumia kidogo mlichonacho kuchangia kwa kushiriki kwenye interview hiyo YA AJABU AJABU FASTA FASTA.
Hii ndo Tanzania, upende usipende.
 
kAMA NDIO HALI HII BASI NASHAULI SOMO LA UJASILIAMALI UFUNDISHWE MASHULENI KAMA SOMO LA LAZIMA KAMA ILIVYO KWA COMMUNICATION SKIILS NA DEVELOPMENT STUDIES.
 
watu wameshaajiriwa zamani na wanajulikana ..hio ni geresha tu
 
Hata waandaaji wenyewe wanatia shaka kama hawawezi pia kumoderate namba ya wasailiwa nadhani hata interview yenyewe yaweza kuwa uncredited&invalid katika approach yake nzima...a bit confusing.
 
Hii mbona imekaa kisanii zaidi..kweli taasisi yenye wataalau inashindwa kufanya mambo kitaalamu kiasi hicho
 
nashangaa kwani walipotuma maombi hawakutuma na cv zao? Kwanini chuo hakiuanza kufanya mchujo kwa cv na kuwabakisha wachache kwa interview.

Hata bila hivyo, walitakiwa walau kila siku wanafanyia interview watu 50 basi halafu kwa masaa yaani wakwanza saa tatu, wapili saa nne, watatu saa tano nakuelendelea. sasa wao wamewaita wote wakati mmoja halafu siku moja!!! Haiingii akilini.
 
watu wengine wamekopa nauli afu unawaambia baada ya written itakuja spoken................huh???au wanataka kuonekana wema sana kwamba waliita wote walioomba kazi???poor HR recruitment
 
Sijui hii inaashiria nin kwa sisi ambao bado tuko mashulen!

Inaashiria ukitoka shule ukajiajiri mwenyewe hata kwa kuuza nyana siyo kukimbizana na ajira. Hakuna kitu kizuri kama kujiajiri jamani. Uhuru, uwezo wa kufikiri sana. Hizi za kusubiri mishahara mwisho wa mwezi zinaleta mushkheri.
 
Wangepokea maombi kisha wakachuja kutokana na CVs jinsi zilivyokaa baadae wakatangaza majina machache ambayo ndiyo yatafanyiwa interview.

Ndugu CV za wabongo zinafanana zote kasolo majina tu mambo ya copy and paste hayo...ndo maana wameita wote sababu CV zinafanana
 
habari wana jf,nina habari njema kwa wale wanaotafuta kazi,kampun ninayofanya nayo kazi inatafuta watu wa kushiriki nao katika kazi,watu hao wawe na sifa zifuatazo.wavumilivu,walio elimika na wenye upeo,wenye mpangilio katika maisha yao,wenye ushindani katika maisha,na wenye hamasa ya ndani ya maisha bora na yasiyo na kikomo. kama unadhan una sifa hizo ni PM tafadhali. thanks na karibuni wote.
 
Kama hari ndio hii basi somo la Entrepreneurship linatakiwa kutiliwa mkazo mashuleni inasikitisha kuona watu zaidi ya 1000 wakigombania nafasi kumi this is very shame kwa wasomi wetu wakati kuna opportunity kibao bongo.
Mkuu hapa kuna mambo mawili
1. Udom kujisafisha mbele ya jamii kuwa hawana ajira za ubaguzi baada ya dini fulani kuripotiwa kuwaajiri watu wa dini yao pekee. Kwa sababu ni mwenye akili chache tuu, mpuuzi, asiyejali muda wa wenzanke na mzandiki anaweza kuwaita watu 1000 kwye usaili kwa nafasi 12 tuu.

2. Pamoja na kuwapotezea wenzake mda kwa interview uchwara, je amefanya impact assessment ni uharibifu kiasi gani population ya 1000 wanasababisha kuwepo kwao mara moja sehemu moja. Angalia vyoo, maji, nyasi, uchafu, kukalia viti. Hii nchi ina watu wasiofikiri kabisa. Naona bora tungeendelea na wakoloni watuchape na kutufundisha kazi kwa sababu we dull!

Shame on you Kikula and your team
 
Kila siku nazidi kujionea dalili kwamba Watanzania namnagani vipi. See this:

- Inakuwaje interview watu waitwe weekend? Ijumaa, interview ifanyike J'pili
- Uharaka wa nini hapa? kwa manufaa ya nani?
- Inakuaje watu waitwe kijumla jumla? hii inaendana na uharaka uliooneshwa kwa kuita watu weekend?
- Gharama za kutahini kundi lote hilo la watu ni busara? zimelipwa na nani? kwa manufaa ya nani?

Ni wazi kabisa kwamba lengo lilikuwa kuwanufaisha (1) wenye biashara ya usafiri, (2) wenye biashara za chakula na nyumba za kulala wageni (2) wenye biashara ya photocopy, etc.

Nachukua fursa hii kuwashukuru (au kuwapa pole) nyote mliotumia kidogo mlichonacho kuchangia kwa kushiriki kwenye interview hiyo YA AJABU AJABU FASTA FASTA.
Hii ndo Tanzania, upende usipende.

Kuna mdau mmoja aliweka bandiko jana jana la safari yake ya kuelekea UDOM ilivyokuwa.Inasikitisha sana,anadai hadi watu wa mabasi walijaribu kupandisha nauli ya Dar-Dodoma kutoka 15,000 hadi 25,000 SUMATRA waka-intervene nikawa simuelewi sasa napata picha watu zaidi ya 1000! na majority wanatokea Dar ilikuwa ni premeditated havoc isiyo na sababu.Shame on you UDOM HRMs!
 
Matatizo wanafunzi hawa walishayasema yote ila kale ka-tabia ka kupuuzwa naona sasa kataleta shida si kifan tena!!!!!!!!!!!!!
 
Wakuu hivi UDOM kuna course ya hr, kama ipo nashauri wanao soma waondoke watafute alternative colleges, kwani namna hii inaonesha kabisa kuwa hata product zao ni mbovu.

Afu tunapoelekea Tz ni tunisia, vijiwen watajaa graduates afu unataona cha mtema kuni, yangu macho tu!
 
Ndio maana mimi nikaamua kuacha kwenda hii ni hatari inaonesha kwamba wanataka kufanya mambo kwa uwazi zaidi
ndio maana wamefanya hivyo.........
 
maumivu ya kichwa huanza pole pole.....!!!!!!!
 
kwa staili lazima tuendelee kuwa maskini
watu wote hao siku nzima hawafanyi kazi!
 
Back
Top Bottom