Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,467
- 23,748
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.
Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.