Me msukuma... tupoje???
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!
Me msukuma... tupoje???
Kwani wanawake mmewekewa wigo na nyie kuwa label wassajja? (wanaume)
Mbona mnapenda sana kulabel wanawake tuuu . . . . . .kwani wanaume hawana makabila????????? Khaaa!!!!
COPY & . . refer MMU
Ndiyo, tumewekewa wigo!
Na wigo wenyewe ni staha plus stara.
Jamani respect sio mpaka unipe shikamoo . . . . .loh!!
mara mia hata wasiyaweke ya kwao,ni balaa halafu wavalishwe boxer tu mweh tutatafutana hapa ndani.
heheh...patna tukianza kuweka "figa" za wanaume, hapa ndani patakalika?? utakutana na viazi vya Singida, magimbi ya Ukerewe na matoke ya Bukoba...
Sina swali jingine dogo wala la msingi la ziada! Umenishibisha majibu ya mwezi mzima mbele!
Niache niangalie Bunge.
Wapendwa,
Mpaka kuongea hivyo ujue imekuwa too much.
Ukienda MMU ndo usiseme . . . wanawake wa kabila hili, sijui lile, wamekuwaje . . . . mara sijui wameenda vipivipi!
Mradi tu mtu kaongea. Na ukitathmini vizuri mambo kama haya ndo yanakuwaga chanzo cha kejeli.
Well it could be all about chitchatting . . . but ebu tupunguze kuongelea upande mmoja tu basi!
At least my mind speaks that.