Angalia figa ya kabila lako

Angalia figa ya kabila lako

me msukuma... Tupoje???

wasukuma.pngwasukuma hawa hapa.
 
Mtandaoni wapi bhana na umeitoa humu humu jf? ngoja nikuwekee Link sasa hivi...
 
aliyechora atakuwa muhaya japo ina ka ukwli kidogo kwa baadhi ya makabila
 
Kesho ntachora makabila mengine. Mkuu pendekeza mengine mawili niyachore...
Inaonekana watu wameimaind...Tuwekee ya wangoni, wapare, wanyaturu na wasukuma ili tuwaone ndg zake Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom