Angalia figa ya kabila lako

Angalia figa ya kabila lako

watu wachokoziii???? mh imeshapita na wakat hii thread bwana
 
mara mia hata wasiyaweke ya kwao,ni balaa halafu wavalishwe boxer tu mweh tutatafutana hapa ndani.

Haaaaaaahaaaaahaaaaa Asnam Kama sio kujificha kila mtu kivyake coz hata kombolela haitachezeka hapo!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
wakuu kwa uvivu... hi mada ishaletwa hapa
 
Wana JF,

Nimekutana na mchoraji mmoja ambaye alitumia lugha picha za wanawake kutokana na kabila zao, kuna ukweli wowote?

1546012_533977760075454_4369689568766360652_n.jpg
 
Wee wakuja nini.............umejiunga lini JF?.
 
Back
Top Bottom