themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
- Thread starter
- #21
Telescope si hiyo hapoSawa, kwa siku ile waliosema ni mars walisema kile kilochokuwa kinang'aa pembezoni ya mwezi ndio mars. Mpaka sasa ukiangalia angani kile kilichokuwa kinang'aa siku ile bado kipo pale pale kinang'aa.
Siku ile sikubisha suala la mars, ila nilisema wataalam na wana sayansi walisema mars itaonekana sambamba na lunar eclipse ila temporarilly.
Swali langu ni kinachoonekana mpaka sasa kinachong'aa bado ni mars iko pale au maana ndio kile kile kilichokuwa na lunar eclipse siku ile.
Kuna uwezekano mars ilionekana ila watu walikuwa preoccupied na satelite inayoonekana mpaka sasa na kudhani ni mars na kushindwa kuiona mars yenyewe. Ndio point yangu.