Tazama mwendo wa Sayari angani katika wiki mbili zijazo

njiwaji

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
279
202
Press here or See below for English version - Angalia chini habari kwa Kiingereza

TAZAMA MWENDO WA SAYARI ANGANI KATIKA WIKI MBILI ZIJAZO

Unaweza kutazama mwendo wa sayari ya Mushtarii (Jupiter) katika anga kwa kulinganisha na nyota ya Sumbula (Spica) iliyo jirani yake. Hizo zinaunda jozi la kuvutia katika anga ya jioni kiasi saa moja au saa mbili jioni, karibu na upeo wa magharibi. Mushtarii inayong’aa sana iko upande wa kushoto na upande wa kulia ya jozi ni nyota ya Sumbula ambayo inang’aa vizuri. Unaweza kutofautisha sayari na nyota kwa kutazama ming’ao yao. Sayari hung’aa kwa mfulilizo wakati nyota huachiachia na hivyo kumeremeta. Jaribu kutambua sayari ya Mushtarii kwa njia hii.

Ukifuatilia jozi hiyo siku hadi siku kwa wiki mbili zijazo utaona kuwa ingawa jozi yenyewe inashuka chini kukaribia upeoni, sayari ya Mushtarii inapanda juu ikiwa inaelekea upande wa mashariki. Huu ni mwendo wa kawaida ya sayari zote.

Pia, siku ya tarehe 22 Septemba, jozi hiyo itaunganika na Mwezi hilali na zitaunda mstari ulionyooka wa Sumbula-Mushtarii-Mwezi hilali. Hali hii itatoa mandhari nzuri sana na ya kuvutia.

Mwendo wa Mustarii - Sumbula.jpg

SEE MOVEMENT OF PLANET ACROSS THE SKY OVER NEXT TWO WEEKS

You can see the movement of planet Jupiter across the background sky using the nearby star Spica, which form an attractive pair that will catch your eyes immediately around 7 or 8 pm near the west horizon. Brilliant Jupiter is on the right and bright Spica is on the left. You can distinguish planets from stars by the way they shine. Planets shine steadily while stars twinkle. So check out how the pair shines and identify Jupiter using that.

By following day by day, the changes in the orientation of the Spica-Jupiter pair in the western sky in the evenings over the next two weeks, you will see that although the pair moves down towards the west horizon, Jupiter shifts upwards heading towards the east. This is the normal movement of planets in the sky.

On 22 September, a crescent Moon will join the pair and will form a line Spica-Jupiter-Crescent Moon. It will be a beautiful sight to observe.

Jupiter-Spica movement=.jpg

==XXX==
 
View attachment 584353

View attachment 584354
==XXX==
Kiukweli mkuu unastahili kupongezwa.Ila watz wengi hawana desturi ya kujifunza,.....tazama michango kwenye ngono,siasa,udaku,...utashangaa!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom