Usipofahamu Njia zaku-Inspire Confidence Kwa Wateja Wapya Ili wanunue kwenye Online Store Yako Utakuwa Unapoteza Muda. Jifunza Kitu Hapa

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Jun 5, 2014
767
1,655
Mambo vipi?

Leo Jumapili kama kawaida tunakutana tena kwenye darasa la leo ambapo nitakuonyesha njia tano unazoweza kutumia kumshawishi mteja mpya anayetembelea online store apate inammi na wewe/duka lako na anunue kweli.

Kumbuka kuweka product katika Store yako ni jambo moja.

Kuunda Imani kwa mteja mpya hasahasa kwa wewe unayejaribu kukuza brand yako ya Online Store si rahisi. Unajua wateja wengi wanapenda kununua sehemu au toka kwa brand wanayoifahamu kwasababu they feel more safe.

Sasa usipofahamu mbinu zakumfanya mteja mpya ajione yupo safe kununua katika Store yako utahangaika sana kuuza.

Ok.

Baada ya kusema hayo nataka twende tuangalie njia hizi tano powerful kabisa unazoweza kutumia right now na utaona wateja wanaanza kununua kwenye Store yako.

Are you ready?

Let’s go.

1 • Hakikisha Store yako ni simple na kila kitu kinasomeka vizuri (Optimize your store)

Ok.

Kitu cha kwanza kabisa kitakacho mtengenezea mteja mpya confidence na kununua katika Store yako ni mwonekano wa Store yako.

Trust me, Store ambazo zipo simpe na kila kitu kinaeleweka kwa urahisi inachochea sana mteja kununua.

Focus yako kubwa inatakiwa iwe katika urahisi wa mteja kufanya manunuzi.

Hapa sijui nisisitize vipi. Hakikisha process mteja atakayotumia katika duka lako kununua ni rahisi kadiri inavyowezekana.

Wateja siku mtandaoni hawapo na muda wakuumiza kichwa kuhangaika na Store yako iliyo complicated.

Na niseme tu watu wanadhani Store yako ikiwa na mambo mengi basi utaaiza sana. Nop.

Labda uwe brand kubwa tayari.

Kwa wewe unayeanza inabidi kila kitu kiwe clean and simple.

Angalia Online Store yangu nayounza digital products

IMG_6408.JPG



Yes kila kitu kipo very simple.

Hata mteja asiyeelewa mambo ya mtandaoni akiingia anaona Course anayotaka na a nafanya manunuzi mara moja.

Labda kitu kidogo naweza kupadilisha hiyo button ya Buy Now kuwa rangi blue. Which is good because inaonekana kwa urahisi zaidi.

2 • Weka Picha Nzuri zinazoonekana Vizuri na Andikia maelezo mazuri.

Yep.

Picha nzuri inanguvu sana yakubadili mawazo ya mteja.

Picha nzuri ya bidhaa unayouza inauwezo wakumfanya mtaja anunue wakati huo huo kwasababu tu picha ni nzuri kwahiyo product anayonunua ni nzuri kama inavyoonekana.

Kamwe usitumie picha iliyofifia au isiyo Tengeneza vizuri.

Picha inatakiwa iweze kuibua hisia.

Na hapa nikupe tu siri kwamba ukitumia picha zinazoonyesha watu ni rahisi zaidi ku inspire confidence kwa mteja mpya.

Does that make sense to you?

I hope it does.

Ok nikirudi kwenye maelezo mazuri Hapa namaanisha kila product unayouza inabidi uiandikie maelezo yatakayo catch attention ya mteja lakini pia kumpa mwanga kuhusu product anayotaka kununua.

Kwsababu mteja akiona maelezo ya product anayotaka kununua hayaeweki au yapo too complicated hato maliza process yakufanya malipo.

IMG_6466.JPG



3 • Andika Story ukielezea Safari Yako mpaka kuamua kufungua Store yako.

Hapo vipi?

Ngoja nikuambie kitu.

Mimi ni digital marketer ninafahamu siri hii kama unataka kujenga confidence kwa wateja wapya inabidi uandike Story inayoelezea Safari yako hadi kuwa na Store na vitu ulivyoamua kuuza.

Hii inasaidia wateja wapya wanaohitaji bidhaa unazouza ku-relate na wewe mmiliki wa store.

Watu mtandaoni wanapenda wafahamu kuhusu wamiliki/mmiliki aliye nyuma ya Store.

Na njia rahisi yakufanya hivi ni kuelezea story yako.

Does that make sense?

4 • Anzisha Blog inayoelezea au kufundisha Kuhusu product unazouza na hakikisha unaandika mara nyingi kadiri uwezavyo.

Hii ni very powerful.

Kumbuka wateja wapya watanunua toka brand ndogo inayoanza iwapo tu wanafahamu aliye nyuma ya Store ni mweledi wa vitu anavuouza.

Ndiyo ipo hivyo.

Watu wananunua zaidi kwa wauzaji wanaodhani wanauelewa mkubwa kuhusu service au product wanazouza. Period.

Sasa hapa Blog ni muhimu kwasababu itakuwa nafasi kuelezea au kufundisha kuhusu service au bidhaa zako ili wateja wapya wakuone upo serious na unayo passion kwa vitu unavyouza na si tu unajaribu Kutengeneza pesa kwa bidhaa au huduma usizokuwa na weledi nazo.

Do this and you will thank me later.

5 • Tumia Social Media kukuza awareness kuhusu Brand yako.

Ok, cool.

Social media kama vile Facebook, Instagram, Jamii Forums ni sehemu nzuri sana ya wewe kuonyesha bidhaa au huduma unazouza.

Platform hizi tayari zina watu wengi wanazifuatilia kwahiyo ni rahisi kuwafikia potential buyers na kadiri unavyozidi kuwa consistent katika kushare product au service zako watu taratibu watajenga imani na brand yako.

Jitajidi kuwa active kwenye Social Media platforms every single day.

Kumbuka unapoanza Online Business, Business yenyewe ndiyo inakumiliki wewe na si wewe inaeimiliki Business.

Alright.

Kwa leo niishie hapa. Tukutane tena kwenye darasa amazing kama hili next time.

Blessings.
 
Back
Top Bottom