Bei gani unauza?Mie nauza ANDROID TV BOX ....MXQ 4K ni nzuri sana 1GB/8GB,android version 5.1,WIFI LAN HDMI DLNA ,airplay Miracast,Mali-400MP,3D movie support,KODI v16.1 Jarvis pre-install
Tsh.180,000/= Nauli juu yako ya parcelBei gani unauza?
Ulaji wake wa bando upo vipi ama ni kama simu tu?? Maaelezo kidogoTsh.180,000/= Nauli juu yako ya parcel
Upo DSM au Mkoa gani?Tsh.180,000/= Nauli juu yako ya parcel
Sipo dar mkuu nipo mkoa wa KATAVI.Upo DSM au Mkoa gani?
Nahitaji hicho Kitu!
Duuh Asante!Sipo dar mkuu nipo mkoa wa KATAVI.
Ni pm basi nimebakiwa na pcs 4Asante nilikuwa nahitaji sana hicho kitu
unbox android tv box
Utapata kutegemea na Addons ulizowekamkuu channel za muvi,miziki na mipira za mbele zinapatikana fresh,mi ni mpenzi wa mambo hayo
Utapata kutegemea na Addons ulizoweka
Kwa upande wa movies addons bora ni
- YES moves addon &
- overload movie
Unachagua quality unayotaka kuangalia kuna 480p, 720p na 1080p
Kimsingi Addon ziko nyingi sana,
Antroid TV Box ninayouza
- Brand: Nexbox, Model: A95X
- Bei: TSH 175,000
- RAM 2GM, ROM 8GM
Nitakuwekea
1. Top 5 SPORTS addon - Utaweza ona michezo yote ya ulaya. WWE, UFC, FOOTBALL, nk
2. Top 5 MOVIE addon
3. Nitakuwekea apps kama MOBDRO, LIVE STREAM, UKNOW etl
4. Utanipa mapendekezo ya nini na nini unataka uwekewe
View attachment 418937
Mkuu, izi addon ukiweka ndo basi au kila baada ya muda watakiwa kuzitafuta tena zinazofanya kazi, na pia vipi ulaji wa bundle kwa izo movies na tamthilia addon, na una addon za tv kwa ajili ya watoto edutainment? Natanguliza shukrani zangu
Mkuu, izi addon ukiweka ndo basi au kila baada ya muda watakiwa kuzitafuta tena zinazofanya kazi.
- Unauwezo wa kuweka na kutoa addon kwa kadri unavyohitaji.
- Addon haitofanya kazi iwapo developer wameisitisha, hivyo link zake zote huwa hazifanyi kazi, Dead link.
- Ila uzuri kuna mamia kwa mamia ya hizi addons, na kila siku developers hutoa mpya.
- Na kupitia youtube tutorials waweza kuweka addon yeyote unayotaka, ni zoezi la dakika chache.
na pia vipi ulaji wa bundle kwa izo movies na tamthilia addon
- Ulaji wa bundle ni wa wastani, mfano kwa muvie katika ubora wa 720p utahitaji 1GB kwa muvie moja ya dakika 130, hiyo 1GB haitoisha, na iwapo unatazama muvie kwa ubora wa 480p, 1GB waweza tazama movie mbili.
View attachment 419003
una addon za tv kwa ajili ya watoto edutainment?
- Zipo mfano mzuri ni TDB Toons addon
Utapata kutegemea na Addons ulizoweka
Kwa upande wa movies addons bora ni
- YES moves addon &
- overload movie
Unachagua quality unayotaka kuangalia kuna 480p, 720p na 1080p
Kimsingi Addon ziko nyingi sana,
Antroid TV Box ninayouza
- Brand: Nexbox, Model: A95X
- Bei: TSH 175,000
- RAM 2GM, ROM 8GM
Nitakuwekea
1. Top 5 SPORTS addon - Utaweza ona michezo yote ya ulaya. WWE, UFC, FOOTBALL, nk
2. Top 5 MOVIE addon
3. Nitakuwekea apps kama MOBDRO, LIVE STREAM, UKNOW etl
4. Utanipa mapendekezo ya nini na nini unataka uwekewe
View attachment 418937
Habari.Kama bado unazo hizi Android TV Box naomba tuwasiliane.
Mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch netwrk muda wote mpk nimechoka natamani kuipiga nyundo ife tu.




