Rais Wa Malofa
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 688
- 796
internet itabidi utafute yenye ping ndogo na watu wanatumia kodi tayari tanzania na ipo fresh.
zipo website kama kaymu naziona zinauzwa around 200,000 tena brand zisizojulikana.
kama una uwezo wa kuspend zaidi ya 100,000 zunguka mjini tafuta desktop zenye maumbo madogo yenye hdmi ifanye iwe tv box. ila ushauri wangu usispend hadi 200,000 kwenye box la android ila dola $30 hadi $60 ni reasonable.
Mkuu Naomba Maelezo kidogo namna ya kuifanya desk top kuwa tv box