chukua desktop eka tv card connect desktop na tv utapata tv yenye windows.Kuna TV yenye kupokea OS ya windows?
Thanks maelezo mazuri ila naomba kujua kitu kwa iyo, iyo Tv box kuna sehemu ya kupachika line za simu au una access vp livestream au application ka ulivyosema unaweza kuweka watsap,facebook ?ni kama deki mkuu, wakati wewe kwenye deki unaeka cd hii tv box unakuwa unahifadhi mambo yako humo humo huna haja ya cd pia unaweza ukachomeka flash na external hdd.
yenyewe inakuwa kama simu na inaingia application za simu kama youtube, facebook na app zote unazozijua kwenye simu za kawaida kama hizi tecno na samsung galaxy.
hivyo fikiria ukitumia simu unachokiona kwenye kioo basi kile kile utakiona kwenye tv yako. utofauti wake na simu unakuja hizi tv box wamezibadilisha uweze kutumia remote badala ya touch ya simu.
![]()
unatumia wifi, au pia unaweza tumia modem. sema sina uhakika kuhusu modem kama inakubali out of box au hadi ueke softwareThanks maelezo mazuri ila naomba kujua kitu kwa iyo, iyo Tv box kuna sehemu ya kupachika line za simu au una access vp livestream au application ka ulivyosema unaweza kuweka watsap,facebook ?
Kifupi Android box na stick zinabadili TV yako kuwa Smart TV.Mahali tunakoenda sasa ni karibu kabisa na mwisho...kwenye adroid yangu napata TV stations kwa mamia kupitia Mobdro. Mimi ni mpenzi wa mpira na hapo nikikosa kwenye ving'amuzi sina shida ya kuangalia Premier Legue nk. Je, kuna features za TV kwenye hii kitu ili niwe na options za kutizama channels nizitakazo na kwa wakati wangu? Nafanyaje?
Jamani ushamba mwenzenu ndiyo maana nauliza uliza.
Ni kama umeconnect simu yako ya android kwenye TV screen yako. Hivyo kama ni kuType kupitia hiyo android tv box unaweza kuunganisha Keyboard na mouse
Kaka zipo poa tu!!...maana zimeundwa special for livestreaming mi naitumia na nipo MPANDA-KATAVI huku hatuna hata 4G ni 3G.
unatumia wifi, au pia unaweza tumia modem. sema sina uhakika kuhusu modem kama inakubali out of box au hadi ueke software
toa maelezo zaidi, hiyo wifi haidetect? au unaiona huwezi kuconect? umefata niia gani kuconect hio wifi? unatumia nini kurusha wifi? aina gani ya box?Mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch netwrk muda wote mpk nimechoka natamani kuipiga nyundo ife tu.
Ulinunua wapi na sh. ngapiKaka zipo poa tu!!...maana zimeundwa special for livestreaming mi naitumia na nipo MPANDA-KATAVI huku hatuna hata 4G ni 3G.
Ni ya aina gani na uliichukulia wapi? Nazitafuta sana hizi..! Nimenunua Ebay mara mbili na hazijafika.Aisee ww umefanyaje,mm ninayo na nimejaribu kutumia wifi lkn inasearch tu muda wote,ni kawaida kutumia muda mrefu kutafuta network?
Asante umenifumbua macho na mm maana nilikua nipo gizanini kama deki mkuu, wakati wewe kwenye deki unaeka cd hii tv box unakuwa unahifadhi mambo yako humo humo huna haja ya cd pia unaweza ukachomeka flash na external hdd.
yenyewe inakuwa kama simu na inaingia application za simu kama youtube, facebook na app zote unazozijua kwenye simu za kawaida kama hizi tecno na samsung galaxy.
hivyo fikiria ukitumia simu unachokiona kwenye kioo basi kile kile utakiona kwenye tv yako. utofauti wake na simu unakuja hizi tv box wamezibadilisha uweze kutumia remote badala ya touch ya simu.
![]()
Magomeni kubwa. Magomeni ipi upo nije nizione mm nipo magomeni mapipa..inategemea na aina ya processor mfano magomeni zipo desktop za 4130T ambazo tdp yake ni 35W na ikiwa idle inakula umeme mdogo zaidi ya huo. pia zipo desktop za atom ambazo TDP Yake ni 2W tu even taa inakula umeme kuliko hizo desktop nyengine zipo kwenye umbo kama modem tu.
kuna advantage kubwa ya kuwa na x86 device hasa kama una mpango wa kucheza games au kufanya emulation. ukiwa na full browser kama firefox au chrome utafanya mambo mengi ukiangalia mpira huwi limited kwenye apps tu una njia nyingi kuanzia vlc, stream za online, kodi, acestream, sopcast, kodi nk pia x86 inaingia android hivyo unafanya dual booting incase utahitaji android tena unakuwa na choice kama remix os na phoenix os ambazo zipo optimised kwenye vifaa visivyo vya touch au unaweza kuweka android tv kabisa.
bei pia hazitofautiani sana zipo stick za atom kibao chini ya dola 100 na zipo kali za around dola 100 zenye option za ku expand.
hizo za magomeni ni lenovo m73 zinauzwa 300k
![]()
Mkuu we mkali na upo vizuri yaani hongera kwa kuana ujuzi!!!mkuu acha ubishi unajua asus zenfone 2 ile simu inatumia x86 processor? ambayo inatoka familia ya baytrail? sasa kama simu ina processor inayotumika hadi kwenye desktop imewezaje kuvumilia?
maisha yamebadilika intel research zake zote zimehamia kwenye kupunguza ulaji umeme processor zake za computer sasa hivi core m inakula watts 4 tu wakati hakuna processor yoyote duniani ya simu inayoipita perfomance, even chip za apple za tablets zinasubiri kwa core M.
angalia hii picha hii ni compute stick ya core m ambayo ina nguvu kuliko mashine za core 2 duo/quad na inacompete na i3/i5 za 1st gen za desktop au 6th gen i3/i5 za laptop.
![]()
kidude kidogo kuliko simu kama hicho unategemea kike watts ngapi?
tuje hio desktop ninayoisema mimi ya 35w hio ni TDP tu cpu za intel zikikaa idle zinakula umeme kidogo sana na desktop ndogo hazina cd rom, zinatumia hdd/ssd za inch 2.5 na ram za low power, anandtech wametest system nzima ya i3 4130t inakula watts 22 tu
![]()
unapotumia desktop mambo ya kawaida inakuwa near idle vitu kama kuangalia video, kustream, kodi, etc itakuwa kwenye load itakapoanza kufanya mambo makubwa kama gaming.
Kikovipi hiko??Majibu wengine washakupa.
Ila kwa wanaopenda ku~tinker na electronics, kuna kiji~computer kinaitwa OrangePi PC, kinauzwa $15 Alibaba, ukinunua kila unaweza chomeka kwenye display yako kupitia HDMI na ukakitumia kama computer kama ukiamua kuweka Linux, lakini pia unaweza kitumia kama Android TV, ukiinstall Android na kuweka software zake, kinapiga Android vizuri tu kwa kutumia Mali400GPU, sio the best GPU lakini inaweza peleka 1080p video playback bila shida.
offisi za tahmeed mbele kidogo ya bondeni hoteli kama unaenda kkoo kuna duka la pc utazipata hapoMagomeni kubwa. Magomeni ipi upo nije nizione mm nipo magomeni mapipa..