Waasisi huwa wanakuwa katika wakati mgumu sana kuhusu mali za taifa, nahisi Mwalimu alifkiria akiwawekea wanae vitega uchumi ataweka nadharia mbaya kwa wanaomfuata. Kiuhalisia hilo ndilo kosa alofanya, waliofatia wote hawakuwa waaminifu kama yeye.Huyu Mzee Julius Kwanini aliiacha familia Ikiwa na hali mbaya kiasi hiki? Hivi kweli alishindwa kuwawekea vitega uchumi vya kudumu licha ya kutawala nchi kwa zaidi ya miaka 20?
Alishindwa hata kuwaandaa Walau waweze kujitegemea?
Mpaka Sasa Nafikiri wanaishi kwa kutegemea posho Toka serikalini!
This is shame kwakweli!