denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
Tehehehehehehe mkuu, we inaonesha unawajua Vizuri familia ya Nyerere. Hasa kwenye ilo suala la mwezi mwandamo.Kumwelewa huyu Mzee inahitaji uwe na uwezo Mkubwa wa kuinyambulisha Fasihi.., sasa ukichanganya na Kipindi cha Mwezi Mwandamo basi ndo inakuwa tafrani kweli kweli!!!
Alikuwepo mwingine anaitwa Magige, hiyo nayo ilikuwa mashine ya kipekee.
Kuna siku tulikuwa tunajiandaa kumpokea Mwalimu akitokea Dar kuja Musoma, sasa huyo jamaa kikapanda alitoka Butiama kwa miguu tena yuko peku anakuja Musoma, ilitumika nguvu ya ziada kumuweka sawa.