alibaaliyo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 625
- 578
MOD ONDOA HUU UZI. KANUNI ZA JF ZIMEKIUKWA
Nilipotembelea pale Butiama nyumbani kwa Mwl Nyerere nilimkuta huyu mzee, hapendi kabisa kuonana na watu hasa wanawake.







Ni sahihi kabsa kupewa hizo posho baba yao alitumia muda mwingi kuandaa familia ya watanzania akasahau familia yake.Huyu Mzee Julius Kwanini aliiacha familia Ikiwa na hali mbaya kiasi hiki? Hivi kweli alishindwa kuwawekea vitega uchumi vya kudumu licha ya kutawala nchi kwa zaidi ya miaka 20?
Alishindwa hata kuwaandaa Walau waweze kujitegemea?
Mpaka Sasa Nafikiri wanaishi kwa kutegemea posho Toka serikalini!
This is shame kwakweli!
Aliacha walelewe na mwanamke (mama yao) akasahau kuwajengea misingi na maisha bora ya baadae yeye mwalim busy kuwapambania watz..kosa kubwaaaa..tukubali au tukatae, ni jukum la mwanaume (baba) kutengeneza future za watoto hasa kama uwezo huo unao.Kuwapa elimu tuu haitoshi labda kwa sis masikin elimu ndio kitu kikubwa mzazi anaweza mpatia mwanae kwakua hana mali zaid wala power zaid.Hili ni kosa la mwalimuTeacher aliwafanya nini watoto wake ?
Nimewai kwenda kwa mtot wa sokoine, namelok Kama sikozei jina lakeKosa tena? Kwahiyo hii gape iliyotengenezwa na kina Mkapa ndio mnaipenda?
Enzi za mwalimu hakukuwa na matabaka hata watoto wa sokoine tulikuwa tunaenda shuleni wote kwa mguu hakuna kutumia mafuta na gari za serikali.
Nyerere alihubiri kile anachokiishi.
Joseph ni Masikini kama wewe. Sijui huko Njiro walioko watasema. Tuwe wakweliNimewai kwenda kwa mtot wa sokoine, namelok Kama sikozei jina lake
Ghorofa Iko mitaa ya njiro karibu na 88 ninkwera Yule bint Yuko vzr haswa
SAS acha kaka ake
Joseph sokoine Yule Yuko vzr kiuchumi
Zaid sas Hawa wa mwalimu VIP jmn inahusinisha
Mzee kasahau kuwa hekima ya maskini haisikilizwi. Tatizo ni hiyo extreme poverty, angekuwa Tajiri wasingemtukana maana tajiri huwa na marafiki wengi bali maskini huchukiwa hata na ndugu zake.Soma mwenyewe busara za Andrew Nyerere:dah Mungu anisamehe ila vituko vya huyu mzee ni 100 percent Deo kisandu type
View attachment 690403
View attachment 690405
Mwl Nyerere walikuwa wanafanana na mkewe vile vile.No na mama