Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

Huyu Mzee Julius Kwanini aliiacha familia Ikiwa na hali mbaya kiasi hiki? Hivi kweli alishindwa kuwawekea vitega uchumi vya kudumu licha ya kutawala nchi kwa zaidi ya miaka 20?

Alishindwa hata kuwaandaa Walau waweze kujitegemea?

Mpaka Sasa Nafikiri wanaishi kwa kutegemea posho Toka serikalini!

This is shame kwakweli!

Kwani mwalimu babaake alimuachia nini??

Wakomae na hali zao. Kama wameshindwa kutumia jina la baba yao kujikwamua kiuchumi basi.
 
Ni watu wachache saaaaaaana wanaoweza kumuelewa Andrew Nyerere..Jaribu kufatilia hata post zake Anaongea vitu kwa namna yake kwakweli
 
Sasa anataka hao usalama wa taifa ndio wamkwamue kutoka kwenye hiyo extreme poverty yake?

Kwa akili za huyo jamaa usishangae akawa anataka hao jamaa wakamfagilie nyumba na kumuoshea vyombo ndio maana wanaishia kugombana.

Alafu watu wanalipwaje wamlinde Andrew, yeye ni nani? Hivi bado anaishi kwao?
Ili uelewe kilichokuwa kichwani mwake unahitaji kuwa na Phd
 
Nadhani hujui kufanananisha Watu na si ajabu hata Mwanao tu uliyemzaa mwenyewe mpaka sasa hujui kafanana na nani? Aliyefanana na Hayati Mwalimu ni Mwanae Marehemu sasa aitwae John au Gwido ila Watoto wengi wa Mwalimu wamefanana sana na Mama yao Mama Maria Nyerere.
makongoro ndo kafanana na mwalimu piwa
 
Kumwelewa huyu Mzee inahitaji uwe na uwezo Mkubwa wa kuinyambulisha Fasihi.., sasa ukichanganya na Kipindi cha Mwezi Mwandamo basi ndo inakuwa tafrani kweli kweli!!!
hahaaa
 
Mataahira tu ndio wanahitaji PHD kuelewa simple and illogical sentences kama hizi. So kama wewe kuelewa utumbo kama huo unahitaji PHD basi huna haja ya kuni quote tena.
hahaaaa daahh Jf Bwanaaa..haahaa
 
Kwa nini analindwa na TISS? Je, wenzake kina Madaraka mbona wao hawalindwi na hao TISS? Anafahamu Nini wanachoogopa asipolindwa atakisema?

Mimi sii mjinga!
 
Huyu Mzee Julius Kwanini aliiacha familia Ikiwa na hali mbaya kiasi hiki? Hivi kweli alishindwa kuwawekea vitega uchumi vya kudumu licha ya kutawala nchi kwa zaidi ya miaka 20?

Alishindwa hata kuwaandaa Walau waweze kujitegemea?

Mpaka Sasa Nafikiri wanaishi kwa kutegemea posho Toka serikalini!

This is shame kwakweli!
Mwalimu alikuwa akitembea na vitu viwili wakati wote; biblia na azimio la arusha. Hivi vitu vitaathiri mpka kizazi chake cha nne au cha tano cha familia yake.
 
Kumwelewa huyu Mzee inahitaji uwe na uwezo Mkubwa wa kuinyambulisha Fasihi.., sasa ukichanganya na Kipindi cha Mwezi Mwandamo basi ndo inakuwa tafrani kweli kweli!!!
Kama sizonje
 
Kama wana shida sio kosa letu, Baba yao aliwateat equally na watoto wengine wa Tanzania japo walikuwa na some privileges.
Kama hao wengine waliweza hawa walishindwaje, waulizwe wenyewe.
Hakuna cha equally wamesomeshwa nje ya nchi na ni maarufu mpaka hapo hakuna cha equality kwanini wasitumie elimu na umaarufu wao kujikwamua ..spoon feeding ina taabu
 
Back
Top Bottom