Shikamoo kaka MangataraHata muonekano tu wa uso, Jamaa lina frustrations nyingi. Pole sana class mate
Shikamoo kaka Mangatara
Mkuu,elezea kidogo unavomjua mtu huyu what was it like kusoma nae ? Au kipindi hiko alikua vizuri kiakili (sio darasan) tell us somethingHata muonekano tu wa uso, Jamaa lina frustrations nyingi. Pole sana class mate
No na mamaAnafanana sana na Mwl.... May
God rest Mwl in eternal life...
Marahabaaaaaa naikubali kwani nastahili
Sawa mkuuBabu wa loliondoKwani ni nani huyo mzee?
![]()
![]()
![]()
Sawa mkuu
Mjitahidi kujipambanua kwa uchangiaji wenye staha na busara ili vijana wasiwavunjie heshima
Kumwelewa huyu Mzee inahitaji uwe na uwezo Mkubwa wa kuinyambulisha Fasihi.., sasa ukichanganya na Kipindi cha Mwezi Mwandamo basi ndo inakuwa tafrani kweli kweli!!!

shikamoo mbabu mangatara.Hata muonekano tu wa uso, Jamaa lina frustrations nyingi. Pole sana class mate

Hata mama kwa sasa anafanana sana na Mwl... Mungu azidi kumlinda mama /bibi yetu...No na mama
shikamoo mbabu mangatara.![]()
![]()
![]()
Kafanana sana na mama yake!Anafanana sana na Mwl.... May
God rest Mwl in eternal life...