Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,451
- 4,655
Nathani jamaa ni threat kwa serikali ya ccm, pia ukisoma mada zake utajua tu jamaa ni kichwa
Sema tu, naona ile muzimu ya butiama imegazibika, sijui mchonga alikiuka masharti sasa watoto wake ndio wanalipa.
kwenye hiyo post "ukichwa" upo wapi?