Andika chochote, nikubishie au ubishiwe na kupingwa

Wabongo hawapendi kazi na kufanya mambo magumu ndio maana jf nyuzi za kijinga jinga kama hizo ndizo zina views nyingi.
nabisha.
viewers ndio wanaingizia fedha JF.
wakipata fedha wanaajiri watu, wanalipa mishahara.
Hivyo nafanya kazi ya kiwafanya wengine wapate kazi.

hata wewe umeshiriki kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom