dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,020
- 2,157
Hapa aje abishe mwingineWatoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
Hapa aje abishe mwingineWatoto aliokuzalia mke wako wote ni damu yako hakuna mwanaume mwingine aliyekusaidia kwa kumla tunda mke wako
Nakubishia..sio mawakala mbona hawana namba za kuweka na kutoa mpesaMimba ya Mungu.
Maana kuna mahali nilisoma anasema '' nalikuumba tumboni mwa mama yako''.
hao wawili ni mawakala tu wa mimba.
Sio mbishi nakubishiaJamaa mbishi huyu
Nabisha sio grupu 0 ni kundi 0nabisha.
watoto wako sio damu yako.
ndio maana wanaweza kuwa na damu grupu O wewe A.
hiyo ni lugha ya uongo.
nabisha.Wabongo hawapendi kazi na kufanya mambo magumu ndio maana jf nyuzi za kijinga jinga kama hizo ndizo zina views nyingi.
Mzee ni kivumishi cha heshima sio umri.Sio Mzee huyo nabisha
grupu ni lugha ya kisayansi. Kundi ni lugha ya kijamii. mfano kundi la nyani au nyumbu.Nabisha sio grupu 0 ni kundi 0
nakubishia na wewe kumbe chenga.Nakubishia..sio mawakala mbona hawana namba za kuweka na kutoa mpesa
hahahaa we jamaa bhananakubishia,
''neno wewe'' maana yake You. Yaani BOB OS.
hivyo BOB OS ni shoga.
hapo huitaji magazijuto kubishana.
Jamaa ni shida sana nmemkubaliJamaa mbishi huyu
Nabisha hakuna lugha ya kijamii...najua kuna lugha ya kiswahiligrupu ni lugha ya kisayansi. Kundi ni lugha ya kijamii. mfano kundi la nyani au nyumbu.
Nabisha umecheka kidogo tu.ungecheka sana ungetokwa na machozi au ushuzi kidigodaag huu uzi udumu milele
nmecheka sana
HahahaaNabisha umecheka kidogo tu.ungecheka sana ungetokwa na machozi au ushuzi kidigo
kumbe '' wewe '' ni shoga?????? pole sana mkuu sikubishii.🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Wew ni shoga
napinga mkuu.Tanganyika ilipata uhuru ila
Tanzania bado haijapata uhuru.
napinga mkuu.
hakuna kitu Tanganyika. kuna Zanzibar na Tanzania tu.