Kiby
JF-Expert Member
- Nov 16, 2009
- 6,899
- 4,623
another silly stunt beating around the bush.
.
Huh, is it?
.
another silly stunt beating around the bush.
Sijasoma hiyo fiction lakini kwa jinsi mada inavyopelekwa ni kwa namna ya Kiranga and co theory. Hivyo kwa upande wa Muumba kama wanenavyo manabii zake kwa yale machache yaliyonukuliwa ni kwamba Mungu muumba sii tatizo.
Tatizo ni kile kilichoumbwa kwa maana kuwa kila kiumbe amekiumba kwa kusudi lile kinacho-serve ila kinapodai haki ya kusudi lisichoumbiwa.
Shetani angekubali kuwa yeye ni shetani na makazi yake ya milele ni jehanamu tusingekuwa na matatizo tulio nayo sasa. Hujitahidi sana kuthibitisha ukinyume wa kile alicho na kujaribu kulikana kusudi la kuwepo kwake.
Kwa nini mungu muumba, mwenye upendo usio kikomo na uwezo usioisha (whatever that means), hata wa kuumba ulimwengu ambao matatizo hayawezekaniki (Judeo-Christian tradition's godhead at least) si tatizo wakati kaumba ulimwengu ambao matatizo yanawezekanika?
Wengine watasema mungu muumba si tatizo tu, bali ni baba wa matatizo yote.
After all, mungu si muumba wa yote?
The more you look at this deeply, the more the personal godhead idea seems ridiculous.
hapo kweny e nyekundu hapo nahisi kuna ukweli fulani nilisoma article moja inayoitwa 'we are the other people' ambao wenyewe wanasisitiza kuna uumbaji zaidi ya moja ulitokea ukisoma genesis kwenye uumbaji kuna stori 2 za uumbaji tofauti, stori ya 1 inaonyesha binadamu aliumbwa baada ya kila kitu (hii stori inaanzia gen 1 na stori ya 2 inaanzia gen 2;inaonyesha binadamu aliumbwa kwanza kabla ya viumbe wengine ambao waliumbwa kuja kuwa msaidiz wa binadamu,pia majukumu waliyopewa hawa wa 1 ni tofauti na aliyeanguka kwenye dhambi wa stori ya pili'original sin' ,hawa wengine hawakuanguka kwenye dhambi(the other people)
Kwa nini mtu yeyote mwenye ku reason deeply aamini kwamba account ya genesis inafaa kuaminiwa, na si mythologies tu za Wayahudi?
Naomba utumie uanaanthropolojia.
Watu wa Cape Verde wanaamini kwamba baada ya mungu kuumba dunia nzima, alinawa maji baharini, vikaanguka vipande fulani baharini na kufanya visiwa vyao, hivyo visiwa vyao vimeumbwa kwa njia tofauti na dunia nzima (by the way some african peoples of the Indian Ocean Islands have the same myth, making the story non unique).
Sasa kwa nini niwaamini Wayahudi na nisiwaamini wa Cape Verde?
Au kwa nini niamini dunia iliumbwa na mungu at all?
Au kwa nini niamini kuna mungu at all?
Na nikisema sitaki kuamini, nataka kujua, naweza kujua kama kuna mungu?
Did life emerge by chance or necessity?
I take it by necessity you mean that there was no other option but for life to emerge? What exactly do you mean by "necessity"? Whose necessity? Necessity points to an end, as in "this is necessary for that", then necessity for what?
Do you mean to ask if life emerged as a chance event or an unavoidable event given the laws of physics/ conditions?
By which frame of reference are you posing the question? What is your cosmogony? Which other cosmogonies are you entertaining, if any?
Since the universe is equipped with everything necessary to support and nurture life, was it unavoidable/necessary to make life to meet the conditions?
Or even though the conditions to make life were there, it was just chance that life was formed?
Is it possible to know the mechanism behind life in the universe while living in it?
Mungu wa kweli is "The Living God" hawezi kufa, na ni "Alfa na Omega", hana mwanzo, hana mwisho, we are noli living inside him, He is living inside us!, He is in US, He is US! yaani "I".Kumjua mungu ni lazima utoke kwenye cycle ya cause and effect(think out of the box) or else kujaribu kuprove kwa cause and effect is like subjecting God to birth,growth and death as everythingi in that cycle goes through that scenario and if its true naye yupo subject na cause and effect basi kuna uwezekano ameshakufa kitambo au ndio dunia or the living world we are inside, living inside him
Mungu wa kweli is "The Living God" hawezi kufa, na ni "Alfa na Omega", hana mwanzo, hana mwisho, we are noli living inside him, He is living inside us!, He is in US, He is US! yaani "I".
Jina la Mungu is just a concerpt ya kuwawezesha wanadamu ku open up gates za kuruhusu "powers of will" "I" powers to be released!. Mungu wa kweli ni ile "I" ndani ya kila mtu!, yaani "the Supreme Being!".
Enzi nina access na jukwaa la dini, niliwahi kuweka theory yangu kule, ingawa ilishambuliwa lakini bado inasimama na inasema hivi.
Mungu yupo, na Mungu ana nguvu, na ni yupo popote!, "omnipresence". Shetani pia yupo, ana nguvu na yupo popote!.
Simulizi zinaeleza hapo mwanzo shetani alikuwa na Mungu, na alipoasi ndipo agageuka shetani. Simulizi hizo hazikueleza kama Mungu ndiye aliyemuumba shetani, hivyo nika reach conclusion kuwa mwanza wa Mungu ndio mwanzo wa Shetani, Mungu ana uwezo amvao pia shetani anao, hivyo Mungu anaweza kuwa na uwezo zaidi ya shetani lakini hana uwezo wa kumuangamiza shetani kwa sababu alikotoka Mungu, ndiko alikotoka shetani.
Baada ya uasi wa shetani, Mungu na timu yake, wakasemezana na "tuumbe kiumbe kitakacho tutii" wakamuumba binadamu!. Shetani akasema nitakijaribu ili kuupima utii wake, na japo Mungu aliweka malaika wenye upanga wa moto kulinda lango la bustani ya Aden ili shetani asiingie, shetani alipenya na kumdanganya mwanadamu hivyo kutomtii Mungu!. Kama Mungu alikuwa na uwezo wa kumdhibiti shetani, angemzuia!.
Baada ya auasi, Mungu akauliza "nimtume nani aende kuokoa ulimwengu?", "Yesu akasema, unitume mimi!", huyu Yesu tunaelezewa, yeye ni Neno, alikuwepo tangu mwanzo", haikuelezwa popote kama Yesu aliumbwa na Mungu, bali tunaelezwa yeye ni nafsi ya Mungu, yeye ni Mungu Mwana, aliyekuja duniani kwa uwezo wa Roho Mtakatifu akawa mwanadamu!. "Kwa maana hiyo, jinsi Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa mwanae mpendwa wake ili kila amwaniniye, asipotee bali awe na uzima wa milele".
Akiwa duniani pia alijaribiwa na Shetani (yaani anamjaribu Mungu), na madhila yote yaliyomkuta, kupigwa, kuteswa hadi kifo msalabani ni kazi ya shetani, ili "kwa kupigwa kwake", sisi tuliponywa!". Lakini hata baada ya kifo na ufufuko, bado hakuna uzima wa mimile na shetani anaendelea na kazi zake hapa duniani kawa kawa!. Kama Mungu ana uwezo wa kumuangamiza shetani, kwanini asingemuangamiza jumla hata akamtoa mwanae asulubiwe?..
Na baada ya ujio wa Masiya, jee ulimwengu umeokolewa?!. Bdo, ni kwa nini?, ni kwa sababu shetani yupo na ananguvu kama za Mungu, na Mungu ananguvu zaidi ya shetani, lakini hana uwezo wa kumuangamiza shetani!. Wale wote ambao huwa mnawaona kwenye TV wakitolewa mapepo, amini usiamini, pale huwa yanatulizwa tuu na wakishaondoka, huwarudia kwa sababu shetani pia ana nguvu!.
Conclusion.
Mungu na shetani its a concerpt, the true powers lies on you "I" power ambapo ikitumika vizuri, inafanya mambo mema, (ya Mungu). ikitumika vibaya, inafanya mambo mabaya ya (shetani), hata wale wanaofanya miujiza kwa jina la Bwana, miujiza yote sio kazi ya Mungu, mingine ni kazi ya shetani posing as God just to make you belive, hivyo kuna mamia kwa maelfu wanaoamini Mungu wakijua kuwa wanaamini Mungu kumbe sii Mungu bali ni Shetani!.
Imani ya kweli ni belive in "I", Mungu wa kweli yuko ndani yako!, then its you!, "I"!.
Heri ya Mwaka Mpya.
Pasco.
Narudia tena, na ikibidi nitarudia na kurudia na kurudia mpaka kieleweke!Mungu wa kweli ni "The Living God" hawezi kufa au ni concept tu?
Mbona unajichanganya?
Unajua kama ni concept tu si lazima awepo kweli, maana hata mimi naweza kuwazua tu concept ya "pembetatu yenye pembe nne" lakini kwa sababu naweza kuwazua hiyo concept haimaanishi kwamba kuna hii "pembetatu yenye pembe nne" mahali.
Make up your mind, ni concept tu au yupo kweli na hawezi kufa?
You can't eat your cake and have it too.
Narudia tena, na ikibidi nitarudia na kurudia na kurudia mpaka kieleweke!
Mungu ni concept!, concept hiyo ndiyo ipo na lengo lake ni kurelease "I" powers!. Hizo I powers ambazo ndizo "alfa na Omega, ni living with no end!. Wewe unazo, mimi ninazo na kila mtu anazo ndizo Mungu!.
Heri ya Mwaka Mpya!
Pasco.
I can't claim to have definitive answers on these matters, show me anyone who claims so and I will show you a liar, I don't expect the experts to know, much less this humble student of life.
Nevertheless I am not one to be shy to share what I came across and consider worthy of discussion at the very least.
There is a school of thought that posits it that, given enough time and space, the multiverse (not to be confused with the universe, which is a mere subset of the former) makes anything conceivable consequential, and an infinity of infinities of the humanly inconceivable possible. Books such as the Sakurai winner's Leonard Susskind's "The Cosmic Landscape: String Theory And The Illusion of Intelligent Design" or David Deutsch's "The Beginning of Infinity: Explanations That Transform The World" or alternatively "The Fabric of Reality" delve into this mind boggling concept deeper. In short the claim is, our Universe is just one among many, and there are an infinite number of universes with no life out there, while there is an equally number of infinite universes supporting an infinity of infinite types of life, not only carbon based, but including for example, one in which everything is the same as ours, but life is silicon based and you are the first president of Malawi, called Joyce Banda, getting ready to obliterate Tanzania out of the map. I plead with theee just in chance that that universe will somehow miraculously develop a technology to communicate with this one, and Joyce Banda will be the first one to read our internet, and this post will humanize her heart so much that she will not choose to obliterate Tanzania.
This has happenned in some universe, and will happen in another except in the other case Joyce Banda will be wearing a blue dress instead of the white she was wearing originally, and she is not you, she is your cousin sister you love to hate!
So you will see, according to this school of thought, when you talk about "the universe" the question will be asked to you, which universe? If you answer this one, the answer is yes, because, the answer is "anything is possible anywhere, given enough time and space".
What is chance but the fruition of space and time? Play the lotto enough time and you will win, with the winning number 000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
nevertheless
Let alone the mechanism behind life in the universe.
It is impossible to know anything for sure, because the process of verification interferes with the knowledge itself, you will just have to choose what level of margin of error is reasonable and acceptable.
By the way, it is also impossible to know for sure that it is impossible to know for sure, for the same reason.
First thing first, the other universe is lucky, its Joyce Banda is cute :rolleyez:
So basically what it is saying is life was "doomed" to happen due to chance
Which might also mean that those believing in the existence of angels and demons are not off the mark
Is it possible for a fetus in its mother's womb to know by a reasonable and acceptable margin of error the source and mechanism of its life?
........ni kwa sababu shetani yupo na ana nguvu kama za Mungu, japo Mungu ananguvu zaidi ya shetani, lakini hana uwezo wa kumuangamiza shetani jumla!.
Mkuu Gaijin, hata wewe?!, Sasa ni kipi hasa hicho usichoelewa?!.Hueleweki unachotaka kusema; shetani ana nguvu kama Mungu au Mungu ana nguvu zaidi ya shetani?
By this logic it is conceivable There is a universe with a "god" somewhere, some mad scientist played with some black holes and invented one, he is just not omniscient/ omnipotent/ omnipresent.
(not this one, he would probably have done a better job )
It is possible for a fetus in it's mother's womb to know by a reasonable and acceptable margin of error the source and mechanism of it's life.
In a universe of negative time, where people are born on their graves and die in their mothers wombs.