Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,290
- 2,438
Ndio maneno ya mwanasheria mkuu wa serikali huyo akiwa bungeni.. Acha wakenya watudharau!!
Ndivyo wote walivyo, Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametoga masikio!!

Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.
Bora hawa maana wanafanya as a hobby,hawafikirii kuchimba visima vya maji, wala shule za kata,wala kununua madawati,wala reli,wala zahanati walishamaliza siku nyingi,sasa ukija kwa hawa vilaza jamii ya werema wanaotunga sheria kali zaidi wakati toka itungwe haijawahi kumtia mtu hatiani utajikweza vp mbele ya wakenya?Masisiem ni janga la nchi hii hawafai hata kidogo ....Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.
Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.
Ameidhalisha Familia yake,taaluma yake ya sheria,amemdhalilisha aliyemteua,amelidhalilisha Bunge na Mhimili wa mahakama alikowahi kufanya kazi
Kawadhalilisha wanawake kwa kiasi kikubwa na hata wanaume kwa kiasi fulani
Hii ni aibu sana.Nimemdharau zaidi leo.Hana busara na wala sio gentleman
Ni kweli kula pesa ya rambirambi ni noma!!!Noma....
Tafadhali jazia nyama kidogo alikuwa anazungumzia nini au alimaanisha nini?
Ndivyo wote walivyo, Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametoga masikio!!
Ndivyo wote walivyo, Mwanasheria Mkuu wa Kenya ametoga masikio!!
Ndio maneno ya mwanasheria mkuu wa serikali huyo akiwa bungeni.. Acha wakenya watudharau!!
ameidhalisha familia yake,taaluma yake ya sheria,amemdhalilisha aliyemteua,amelidhalilisha bunge na mhimili wa mahakama alikowahi kufanya kazi
kawadhalilisha wanawake kwa kiasi kikubwa na hata wanaume kwa kiasi fulani
hii ni aibu sana.nimemdharau zaidi leo.hana busara na wala sio gentleman
Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.
Nimefananisha na wakenya kutokana na mwenendo wa bunge lao, linaendeshwa kisomi kwa hoja sio maneno ya rejareja!
naiweka kwenye kumbukumbu zangu mkuu.
naamini wakenya wanatuogopa ndo mana wanatumia propaganda kutukandamiza, ila ukweli wanujua