brigh wise
Member
- May 4, 2013
- 70
- 17
Mtoa hoja ni mpuuzi xana tu!
Haya umeyajua baada ya vyombo vya habari vya nchi husika kuyazungumza ni pamoja na mitandao ya kijamii kama hii ya jf sasa sexologist amakosea nini kuleta hii taarifa ktk jf? Ingawa hakuizungumza vizuri jinsi jaji werema alivyo jibu swali la mh lisu. Hilo neno amelitoa kama msamiati wa kiswahili akimaanisha rais hata akitoka ccm atakuwa rais wa watz wote sio wa wana ccm tu.Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.
Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.

Well said. Kuna mijitu humu sijui ina akili gani, inaongea utumbo tu! Kma huna cha kupost si usome tu na kuacha! Mkenya, Mkenya, Mkenya???? Mkenya ndio nani? S i mtu tu kama wewe, kwani unadhani wana tofauti gani na TZ, hebu nyie mnao waona wakenya ni bora, funga safari tembelea maeneo ya MANDERA, NYAMIRA, ISIOLO, TURKANA, DIGODIA, BARINGO, KAKAMEGA uone jinsi kulivyo na umaskini wa kutisha, sehemu zingine hakuna hata maji! Acheni ulimbukeni, kama TZ au taasisi zake zinakosea, zikosoe kwa hoja makini sio kutuambia habari rubbish za "wakenya".... You can go to hell! Mnakera sana
Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.
Haya umeyajua baada ya vyombo vya habari vya nchi husika kuyazungumza ni pamoja na mitandao ya kijamii kama hii ya jf sasa sexologist amakosea nini kuleta hii taarifa ktk jf? Ingawa hakuizungumza vizuri jinsi jaji werema alivyo jibu swali la mh lisu. Hilo neno amelitoa kama msamiati wa kiswahili akimaanisha rais hata akitoka ccm atakuwa rais wa watz wote sio wa wana ccm tu.
Nafurahi walau kuona kuna watanzania wachache wanaojielewa kama wewe tumekuwa kama misukule vile kwa hawa wakenya ambao bado ni masikini kama sisi tu
mkuu hili jamaa sijui kurya gani? mbona lina maneno ya kimombasamombasa?au ndo wakurya wanaovuta bangi? wakurya pure hatuko hivyo na wala sio walamba miguu kama weremaAmeidhalisha Familia yake,taaluma yake ya sheria,amemdhalilisha aliyemteua,amelidhalilisha Bunge na Mhimili wa mahakama alikowahi kufanya kazi
Kawadhalilisha wanawake kwa kiasi kikubwa na hata wanaume kwa kiasi fulani
Hii ni aibu sana.Nimemdharau zaidi leo.Hana busara na wala sio gentleman
sitaki kuanzisha ubishi mkuu, lakini tafsiri halisi ya nguo ni chupi. kwani tangu zamani watu walikuwa wanafunika sehemu zao nyeti tu na kitu kama chupi na hicho ndicho kilikuwa kinaitwa nguo. kwa hiyo kwa maneno ya huyo mkuu mwanasheria ametamka wazi kwamba anaemvua mama yako CHUPI ndiye baba yako . Ukiondoa chupi yanayobaki ni mavazi.
Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.
Mossad mm nakubaliana na ww tz kwanza mambo mengine yafuate. Kweli sikila mtu ni mwanasiasa lakini utambue kila mtu anaongozwa/Tawaliwa na siasa sasa. Kwahiyo tunapaswa kuwa karibu na siasa ili tuweze kuchagua siasa nzuri,njema na zenye tija na taifa letu. Hatari yakuwa mbali na siasa ni nyingi sana pamoja na kutawaliwa na viongozi wabovu.Bizmark mimi siko kbsa katika SIASA ukiniuliza Chama changu ntakwambia ni Tanzania, ninachoongelea hapa ni Uzalendo na sio UCCM, UCHADEMA wala U- CUF.. Sijasema sexologist kakosea la hasha! Kilichonishangaza nimekifafanua vzur sana before. Kila mtu ana uhuru wa kuwasilisha mawazo yake ilimradi awe na hoja nzito. Kwangu Kuwapa Wakenya priority ni ajabu kwasababu wanalitusi na kulidharau taifa la Tanzania kwa mapungufu ambayo hata kwao yapo..!! Sexiologist kasema ameiquote Kenya cz Bunge lao ni la kisomi na halina ujinga km la Tanzania nimemuuliza swali moja tu.. "kupigana ngumi ni usomi?" hajanijibu bado ila najua atanijibu. Bunge la Kenya ndo la kwanza kuzikunja Ngumi East Africa.. Point yangu hapa ni kua usiingalie Tanzania ya leo bali iangalie ya vizazi vijavyo. Tumefikia hapa tulipo kwa wazee wetu kuwatukuza wenzetu sasa Bismark unataka watoto wako waendelee kuwasujudu wakenya au unataka mabadiliko yako yawafanye wakenya waitukuze Tanzania ya wajukuu wako..?? Its ur choice chap!