Kwa hivi sasa the damage to muungano has aready been made.Makamo na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein amesema anaetaka mamlaka Kamili Zanzibar ahame., ameyasema hayo jana kwenye mkutano maalum na waandishi wa habar kule visiwan Zanzibar
Source: Nipashe
Kura ikipigwa ninaamini wengi watautaka muungano uendelee..
Kuna wajinga wachache tu wasiojua wanachokifanya ndio wanataka muungano uvunjike huko Zanzibar na kutufanya wabara tuuchukie Muungano
Tuwafikirie ndugu zetu kwanza wenye asili ya bara.
Wanaopigania kuucunja asili nyao ni Oman na Yemen wala sio watanzania
na ugomvi wenu wa huko visiwani ndio unatupotezea muda watanganyika. Muungano na znz ni mzigo kiuchumi hilo liko wazi, ila hawa watu hawana shukrani inabidi tutengane nao tu ndio njia iliyobaki
South sudan walidhani mbaya wao ni North sudan ( Sudan), baada ya kutengena kumbe looo! adui wao mwingineeee sasa wanachinjana
Juzi nilicheka sana kuna sehemu hapa huwa wanashinda wapemba kupiga deiwaka nilienda kupiga stori.Kwa hivi sasa the damage to muungano has aready been made.
Haya yangetamkwa kama miaka mitano tu iliyopita mabadiliko ya katiba Zanzibar yasingewezekana kwa kusisitiza "Zanzibar ni Nchi".
Hata Waziri Mkuu Pinda alizomewa sana na Baraza la Wawakilishi akisema bado Zanzibar si Nchi.
Matokeo ya kampeni ile ambapo CCM-Visiwani na CUF viliungana dhidi ya Tanganyika, imewaamsha sana watanganyika nao kudai halali yake na si kuwabeba Wazanzibari kila siku.
Hakuna mtu atakaye weza kwenda against peoples political aspiration, Zanzibar na ijitawale , Tanganyika ijitawale.
Mkuu mimi siupendi hata kidogo huu muungano lakini nimewakumbuka ndugu zetu wenye asili ya bara na kuwaonea huruma kwani ni lazima watatengwa na kubaguliwa vibaya, achilia mbali wakristo ambao nadhani muungano ukivunjika wote itabidi wahamie tanganyikaAnother U-turn? Kuna posts nyingi humu jf toka kwako ukiponda muungano. Huu msimamo mpya unatoka wapi?
wanzanzibar unasema ni wamoja angali wanapishana kauli wenyewe kwa wenyewe? tangu warioba apendekeze serikali tatu, kauli za kutaka zibaki mbili zimetoka znz zaidi hushangai? kauli za kuvunja muungano nazo zimeanzia huko huko .Je watu hawa ni wamoja?. Shein na wanaccm mko nao huko unguja hamuwaambii hayo kwa nini?
Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
Astaghfirullah!imekuwaje tena kumnasibisha mwenzako katika hoja na ukafiri?usiwtukane sana watanganyika watu wameoa na kuolewa huko!tupunguze huu ubaguzi wa kijinga kwa vitendo na kauli zetu ,hayo mambo hayana kheri hata kidogo!Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
Wee Muunguja gani? mbona huna dalili hata moja!! au ndio walee muliokuja kwa mwenge mukasahau kurudi makwenu kwa jinsi mulivyopenda kuishi na Waungwana wa Kizanzibar, Ndugu yangu Wazanzibar ni wamoja na katu humuoni Muunguja eti akijiita kwamba ni Muunguja, izo fitna na majungu ulokusudia kamwe hazina nafasi kwa Wazanzibar, lakini jengine kwangu nakuhisi kuwa wewe ni KAFIRI tena mkubwa sana ndio maana umeshindwa kuzificha chuki zako dhidi ya Wazanzibar 60% wanaodai mamlaka kamili, lakini tunakwambia Wazanzibar kwa umoja wetu tutaendelea kudai mamlaka kamili bila shuruti lolote maana Zanzibar ndio petu tuna hakki zetu kama umenuna rudi kwenu TANGANYIKA ukaendeleze ukafiri wako Zanzibar ina wenyewe!!!
Majibu ya moja kwa moja safi sana nyosha maelezo viongozi.
Mkuu mimi siupendi hata kidogo huu muungano lakini nimewakumbuka ndugu zetu wenye asili ya bara na kuwaonea huruma kwani ni lazima watatengwa na kubaguliwa vibaya, achilia mbali wakristo ambao nadhani muungano ukivunjika wote itabidi wahamie tanganyika
Hicho kisiwa kitakuwa kibaya kuliko somalia
Mtu mzima mwenye heshima zako leo hii unaongea hoja za kitoto, ama upo kilabuni mda huu? kwani ile 60%alotangaza Warioba ilimaanisha nini? ile ni ishara tosha ya ushindi kwa Wazanzibar, lakini hoja ya Wazanzibar na Vasili yao hiyo ipo wazi, Zanzibar ni visiwa na watu wake wanamchanganyiko kutoka pande tofauti za dunia lakini nashangaa ndugu zetu mnavyo lazmisha eti Wazanzibar wametokea Tanganyiaka, Hizo ni hoja za mgando na kamwe hazina nafasi ktk kudai mamlaka kamili Zanzibar..
Nilimuita kafiri kwa ishara ya kuonesha dhahir chuki zake zake dhidi ya Uisilamu na waisilamu palee alipowafananisha Wazanzibar 60% wanamkataba eti ni ASHABAAB, sasa mtu huyu aweza kuwa muisilamu kweli?